johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndiyo maana nilikuwa natamani sana Trump awe rais. Wajinga wanachukuwa fedha za misaada wanasafirisha ma-chawa wa Samia nchi za nje.Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Waache vieite!!!Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Wakusema anaupiga mwingi ni huyu jamaa salute kwake, viongozi wengine waige Kwa maslahi ya nchi zao.Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Lissu baada ya kufeli michango ya V8 kwa wananchi akaona mchongo ni kuchukua uwenyekiti azipige za ruzuku kununulia v8 muda wowote litanunuliwa!Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
sawa ndugu.Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Taarifa ya CAG ya 2022-2023 na 2023-2024 inasemaje juu ya mashirika, tamisemi na serikali kwa ujumla. Baadae ndipo tuifikie hiyo Chadema.Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho
Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote
Credit: Fox news
Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Akinunua V8 Kwa fedha za ruzuku atapigwa Marufuku kukanyaga Marekani 😂Lissu baada ya kufeli michango ya V8 kwa wananchi akaona mchongo ni kuchukua uwenyekiti azipige za ruzuku kununulia v8 muda wowote litanunuliwa!
Na alichambe kisawasawa!Samia umelisikia Ilo beberu? Naomba ulinunie😋
NakubaliRais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho