Trump amezitaka Nchi za Africa kuachana na matumizi yasiyo ya Lazima kwani hiyo ndio Sera yake ya Sasa ndani ya Marekani

Wanao nunua mabasi ambayo hayana tija umewasahau?
 
Kwa nini Chadema badala ya ccm?
 
Viongozi mpaka ngazi ya wilaya wanaishi maisha ya daraja la juu; wananchi sasa - wanahamasishwa kutaga zaidi.
George Orwell aliandika vyema kwenye kile kitabu cha The Animal Farm
 
 

Attachments

  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB
Taarifa ya CAG ya 2022-2023 na 2023-2024 inasemaje juu ya mashirika, tamisemi na serikali kwa ujumla. Baadae ndipo tuifikie hiyo Chadema.
Tume za kuchunguza ufisadi zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya hizo tume nyuma ya pazia
 
 

Attachments

  • VID-20250128-WA0057.mp4
    23.3 MB
  • VID-20250127-WA0059.mp4
    3.5 MB
  • VID-20250127-WA0072.mp4
    12.3 MB
  • VID-20250128-WA0033.mp4
    3.9 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…