Trump amezitaka Nchi za Africa kuachana na matumizi yasiyo ya Lazima kwani hiyo ndio Sera yake ya Sasa ndani ya Marekani

Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Afrika kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho.

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala sio taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Wanao nunua mabasi ambayo hayana tija umewasahau?
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
Kwa nini Chadema badala ya ccm?
 
Viongozi mpaka ngazi ya wilaya wanaishi maisha ya daraja la juu; wananchi sasa - wanahamasishwa kutaga zaidi.
George Orwell aliandika vyema kwenye kile kitabu cha The Animal Farm
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
 
Attachments

  • VID-20250115-WA0018.mp4
    16.9 MB
Taarifa ya CAG ya 2022-2023 na 2023-2024 inasemaje juu ya mashirika, tamisemi na serikali kwa ujumla. Baadae ndipo tuifikie hiyo Chadema.
Tume za kuchunguza ufisadi zinaundwa nyuma ya mikamera majibu nyuma ya hizo tume nyuma ya pazia
 
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho

Trump amesema yeye Kwa Sasa anashughulika na Mambo ya Marekani na wala siyo taifa lingine lolote

Credit: Fox news

Ahsanteni sana na Chadema mzingatie kuweka Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho ya ruzuku 🐼
 
Attachments

  • VID-20250128-WA0057.mp4
    23.3 MB
  • VID-20250127-WA0059.mp4
    3.5 MB
  • VID-20250127-WA0072.mp4
    12.3 MB
  • VID-20250128-WA0033.mp4
    3.9 MB
Back
Top Bottom