ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,494
- 3,630
Angalia familia duni watoto hawana uhuru wa kutoa maoni,Ila familia zenye uwezo mzuri wa kupata (basic needs +social needs)watoto wao wana uhuru wa kutoa maoni.Wengi Tuliitamani Tanzania Ya hivi..
Kwakutumia huo mfano Tanzania na USA zinafall kwenye familia zipi kati ya hizo?