Trump amjibu Jay Z baada ya kuitwa ‘Bakteria hatari’

Wengi Tuliitamani Tanzania Ya hivi..
Angalia familia duni watoto hawana uhuru wa kutoa maoni,Ila familia zenye uwezo mzuri wa kupata (basic needs +social needs)watoto wao wana uhuru wa kutoa maoni.
Kwakutumia huo mfano Tanzania na USA zinafall kwenye familia zipi kati ya hizo?
 
familia ya Tanzania ni underdeveleopment. Imekosa haki za kimsingi. Inateseka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…