Trump amkingia kifua afisa uhamiaji aliyempiga mwanamke risasi hadi kumuua

Trump amkingia kifua afisa uhamiaji aliyempiga mwanamke risasi hadi kumuua

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Rais wa Marekani Donald Trump ametoa kauli kufuatia tukio la Januari 7, 2026, ambapo afisa wa Idara ya Uhamiaji na Forodha ya Marekani (ICE) alimpiga risasi na kumuua Renee Nicole Good (37), raia wa Marekani na mama, wakati wa oparesheni ya kudhibiti uhamiaji kusini mwa jiji la Minneapolis.

Kwa mujibu wa maelezo ya viongozi wa eneo hilo, Good alielezwa kuwa alikuwa ni mtazamaji au mfuatiliaji wa kisheria wa tukio hilo na hakuwa mlengwa wa oparesheni. Hata hivyo, Trump alisema kupitia mtandao wake wa Truth Social baada ya kutazama video ya tukio hilo kuwa kilichotokea “ni jambo la kusikitisha kutazama,” lakini akamtetea afisa wa ICE, akidai risasi zilifyatuliwa kwa kujilinda.

Trump alidai kuwa mwanamke aliyekuwa akipiga kelele kwa maafisa alikuwa “mchochezi wa kitaalamu,” huku akimtuhumu Good kwa kudaiwa kuwa alikuwa akizuia utekelezaji wa sheria, akipinga na hatimaye kumkanyaga afisa wa ICE kwa makusudi kwa gari. Alisema afisa huyo “anaonekana kujilinda” na alinusurika kwa bahati, ingawa baadaye iliripotiwa kuwa alikuwa akipata matibabu hospitalini.

==============================
President Trump said he watched the video of an Immigration and Customs Enforcement (ICE) officer fatally shooting a woman in Minnesota on Wednesday, concluding the officer was acting “in self defense.”

“I have just viewed the clip of the event which took place in Minneapolis, Minnesota. It is a horrible thing to watch. The woman screaming was, obviously, a professional agitator, and the woman driving the car was very disorderly, obstructing and resisting, who then violently, willfully, and viciously ran over the ICE Officer, who seems to have shot her in self defense,” Trump wrote in a Truth Social post.

Trump went on to say the ICE officer is alive and recovering in the hospital following the incident.

“The situation is being studied, in its entirety, but the reason these incidents are happening is because the Radical Left is threatening, assaulting, and targeting our Law Enforcement Officers and ICE Agents on a daily basis. They are just trying to do the job of MAKING AMERICA SAFE. We need to stand by and protect our Law Enforcement Officers from this Radical Left Movement of Violence and Hate!” the president said.

The Department of Homeland Security confirmed an ICE officer fatally shot a woman in Minneapolis on Wednesday. DHS spokesperson Tricia McLaughlin said in a post on the social platform X that the incident took place when “violent rioters” attempted to interfere in an ICE operation conducted in the city.

Source: The Hill
 
Back
Top Bottom