Binadamu utawaweza, ndio maana muda mfupi tu ulioisha BIDEN, ametoa hotuba yake, na kusema , anajua lawama nyingi atapewa, lakini hakuna jinsi, yeye ni rais wa nne toka hivyo vita vimeanza, wametumia pesa nyingi sana, na wanasiasa wamekimbia nchi, USA, hawezi kuendelea kulinda wakati wenye nchi wameshindwa!!Ila Ki ukweli ndio ujue kuwa majeshi ya kigeni hasa USA, yalikuwa na jukumu zito kweli, yaani umewadhibiti watalibani kiasi kwa kiasi kikubwa kwa miaka 20, unatoka tu wiki mbili wameshachukua karibu nchi nzima!!!Acha tuone RUSSIA, , CHINA , na TURKEY, ndio washirika wa wataliban, ushirika wao utafika wapi.