Trump amtaka Biden ajiuzulu kwa kuruhusu Taliban kuteka Afghanistan

Biden ameruhusu kamba ikatikie pabovu na hii itawacost Democrat uchaguzi unaokuja. Trump atapeta kiulaini sana. Wameshamsafishia njia.
Hakuna kitu kama hicho, tena wamarekani wengi wamefurahia uamuzi huu!!kwani hii vita ni miaka 20, sasa kama ni vifaa, mafunzo hadi mishahara USA, ndio alikuwa akiwalipa ili wajiandae kuna siku hatakuwepo, lakini wapi!ni zaidi ya $.bilioni mia moja, zimetumika, .Ni wazi kuwa USA, alijua kuwa akiondoka ndani ya miezi kama 3, watalibani watarudi, lakini sio kwa kisi hii ya kama siku 14 tu, wameshafika KABUL!!hata kama USA, asingeyatoa majeshi yake leo, akasubilia miaka 10, mbele kilichotokea leo ndicho kingekuja tokea tu!!!
 
Umeongea vizuri sana!!hata kama USA, angezidi kukaa hapo miaka 20, tena, kilichotokea leo kingekuja tokea tu, sasa kuna haja gani ya kuendelea kukaa, ?miaka 20, unatumia rasilimali zako kuwafundisha watu wenye nchi yao, bado hawako tayari unafanya nini sasa?!!ni zaidi ya dola bilioni mia, zimetumika!!
 
eti dunia nzima inasema marekani imeshindwa yaani mambo haya na huku walikuwa wanataka marekani aondoke na nusu wawapeleke mahakamani kwa uvamizi sasa wameondoka mkuu yaai hapa sielewi halafu kama wao ni wa watalibani ni wa afaghanistani walitakiwa waproove kwamba wao wanahitaji amani lakini ndo wamekua wakwanza kuipindua hata serikali yao na kuua wananchi
 
Mimi ni kristo lakini kwa hili sifungamani na dini yoyote. Binafsi nimeufurahi sana ushindi wa Wataliban.

Ni fedheha kubwa sana nchi ya watu kushikiliwa na majeshi wa mababeru.
Watu dhaifu huanza kujitambulisha kwa dini zao ili kuhalalisha hoja dhaifu na kuogopa kukosolewa. We sema hoja yako, who cares what your religion is?
 
Halafu chama dola-kikongwe cha CCM wanasema uchaguzi ukiisha Marekani, siasa hakuna.

 
Afadhali Taliban warudi,, mana mmarekani angepeleka uchoko pale wanaume waowane
Yah Kweli.. Yani Bora watu wauliwe (bila Hiari Yao) kisa wameenda kinyume na Dini au Taliban kuliko kuweka sheria wanaume wapewe uhuru waoane Kwa hiari yao.
 
Mimi ni kristo lakini kwa hili sifungamani na dini yoyote. Binafsi nimeufurahi sana ushindi wa Wataliban.

Ni fedheha kubwa sana nchi ya watu kushikiliwa na majeshi wa mababeru.
Na vipi kushikiliwa Na majeshi ya Waasi?
 
Yani asimame akae mti unaingia tu
 
Binadamu utawaweza, ndio maana muda mfupi tu ulioisha BIDEN, ametoa hotuba yake, na kusema , anajua lawama nyingi atapewa, lakini hakuna jinsi, yeye ni rais wa nne toka hivyo vita vimeanza, wametumia pesa nyingi sana, na wanasiasa wamekimbia nchi, USA, hawezi kuendelea kulinda wakati wenye nchi wameshindwa!!Ila Ki ukweli ndio ujue kuwa majeshi ya kigeni hasa USA, yalikuwa na jukumu zito kweli, yaani umewadhibiti watalibani kiasi kwa kiasi kikubwa kwa miaka 20, unatoka tu wiki mbili wameshachukua karibu nchi nzima!!!Acha tuone RUSSIA, , CHINA , na TURKEY, ndio washirika wa wataliban, ushirika wao utafika wapi.
 
Yah Kweli.. Yani Bora watu wauliwe (bila Hiari Yao) kisa wameenda kinyume na Dini au Taliban kuliko kuweka sheria wanaume wapewe uhuru waoane Kwa hiari yao.
Hakuna mtaliban yoyote aliyeua raia mpaka hivi leo kwa taarifa yako tu,, Taliban hawana ugomvi na raia isipokuwa serikali na kibaraka wao marekani, hizo ghasia unazoziona hao wamepanikishwa tu na propaganda za BBC na CNN kwamba kutatokea mauaji so wanajihami na wengine wanaenda kutafuta fursa nje kwa mgongo wa vita mpaka kudandia ndege,, lkn Taliban mpaka wanaingia Kabul haijapigwa hata risasi moja juu
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...unafaa Kuwa comedian
 
Jamaa hata haelewi kinachoendelea!!kwa sasa wataliban hawajaua watu kabisa, na ukiwasikiliza kama ni kweli watayafanya hayo, basi ni kuwacha waongoze tu, wameanza kupita nyumba kwa nyumba kukusanya bunduki, kwa kuwaambia hizo kwa sasa hazina kazi tena!!na hata zoezi la kuwaondoa wageni linafanyika kwa amani , nadhani kuna makubaliano wameyafanya na USA, ili ajiondoe kwa utaratibu tu, na BIDEN, amesema endapo tu majeshi yake yatashambuliwa muda huu yanapowandoa watu wao, yatajibu kwa nguvu kubwa!!na taliban kwa sasa wapo makini ili kuwa prove wrong watu.ila ni suala la muda tu.
 
Huyo marekani nani kampa kibali cha kulinda wenzake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…