Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

Bilionea namba moja Duniani Kalamba uteuzi serikalini,kalamba ajira

Alafu kuna wajinga wachache au wajasiriamali wachovu wanakuja kukuambia wewe ajira ni utumwa
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Tutafute namna Wakuu,tutachakaa
huyu aja ajiriwa huyu kalamba teuzi na wala sio kwa njaa ni kwa lengo la kusaidia
 
huyu aja ajiriwa huyu kalamba teuzi na wala sio kwa njaa ni kwa lengo la kusaidia
Teuzi ni ajira kwa wenye njaa na wasio na njaa
Hata mimi nataka niisaidie serikali sio kwamba nina njaa ๐Ÿ˜

Hakuna alielamba teuzi alikiri ana njaa

Hata Mo Dewji akipewa Uwaziri hawezi kataa,kama tajiri anakubali kwa nini mimi nione ni utumwa ๐Ÿ˜œ
 
Rais lazima ateue watu anaowajua,ndio maana anaunda serikali,anaamua mwenyewe anataka serikali yake iweje aboreshe wapi au aongeze kitu gani
Alifanya Trump ni sawa ila alifanya Samia anasigina Katiba si ndio? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Elon sio raia wa Marekani , wanawezaje kumpa kazi kwenye federal gvt ?
 
Bilionea namba moja Duniani Kalamba uteuzi serikalini,kalamba ajira

Alafu kuna wajinga wachache au wajasiriamali wachovu wanakuja kukuambia wewe ajira ni utumwa
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Tutafute namna Wakuu,tutachakaa
Halafu walioko kwenye ajira ndo wanatuambia tujiajiri ila wao hawataki kutoka kwenye ajira na wakiondolewa wanapambana๐Ÿคฃ
 
Elon sio raia wa Marekani , wanawezaje kumpa kazi kwenye federal gvt ?
Licha ya Uraia,,Wenzetu Wanaangalia zaidi Uwezo Wako Katika Nyanja Husika Unavyonyumbulika Nalo Katika Taifa Lao,,Lina Faida Kwao Huwaga Hawasiti Kukutengeneza Zaidi Na Kukupa Uraia,,Na Ndio Maana Jamii Nyingi Kutoka Mataifa Mbali mbali Ulimwengu Wanapatikana pale Kuliko Taifa Lolote Ulimwenguni
 
Asante kwa majibu. Ila kuna wakati huwa naona siasa zao zinaathiri negatively hicho ulichokisema. Kwa mfano Musk alikuwa ana hofu kwamba wakirudi Demo madarakani wataathiri biashara zake ikiwemo kumuwekea vikwazo vya hapa na pale ili kumdhibiti. Ndio maana akachagua kumpa trump support ya ๐Ÿ’ฏ๐Ÿ’ฏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ