Trump amteua Elon Musk kusimamia Idara Mpya ya kuondoa Urasimu na Kuhakiki Utendaji wa Serikali

Changamoto Hasi Huwaga Hazikosekani Popote Pale,,Lakini Wao Zile Faida Chanya Ndio Huwaga wanazipa Zaidi Kipaumbele Kwa Faida Ya Taifa Lao
 
Atawavurugaaa mpaka wataandamana.. siku zote watu wa serikali ni wavivuu sasa kwa speed ya Musk wataaandamana kumpinga mpaka wamtimue.
 
Dah,!.... Mwenyenacho kapewa kingine..
 
Kama mifumo ni imara Trump angejianzishia idara ya kumpa ulaji swahiba wake?
Hiyo ni idara mpya, udhibiti wa urasimu serikalini? Haikuwepo kabla? Na sisi huku tunaihitaji biashara ziwe chap chap. Ukitaka jambo hamna urasimu.
 
Hiyo ni idara mpya, udhibiti wa urasimu serikalini? Haikuwepo kabla? Na sisi huku tunaihitaji biashara ziwe chap chap. Ukitaka jambo hamna urasimu.
Idara ya kuondoa urasimu inaongozwa na watu wawili!😁
 
urusi ijiandae kukabidhi ardhi ya watu.....trump mjanja sana Ukraine lile ombi laweza timia la kutumia mtandao wa musk
 
Inasemekana uteuzi wa Elon Musk ukitamkwa " Efficiency" Role unamfanya kuwa Mtu Maalum sana kwenye Serikali ya Rais Trump

Kwa Tanzania tunaweza kumlinganisha walau na Rostam Aziz aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini kimaalum Zaidi πŸ˜‚

Credit: BBC
 
Its seem una mis interpret. DOGE agency imeanzishwa ku imporve gov efficiecy how ever si cheo serikalini, watabaki kama washauri. Si decios maker
Elon atakuwa mshauri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…