Trump amuomba Putin awasamehe wapiganaji wa Ukraine

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Hapa ndipo vita vilipofikia.
Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa Urusi
Akiandika kwenye mtandao wake wa Truth ,Trump amemuomba Putin awaache askari hao warudi kwao wakiwa hai.
Tamko hilo la Trump linafuatia lile la Putin ambaye baada ya kuthibitisha kukombolewa eneo la Kursk na kuzingirwa kwa askari hao miongoni mwa askari bora waliobaki wa Ukraine,alisema wapiganaji hao ama wajisalimishe au watauwawa wote.
Hatua hiyo ya Trump pia inafuatia malalamiko ya raisi Zelensky wa Ukrain akisema kila siku iendayo na maisha yanapotea.Kwa maneno hayo akamuomba Trump asaidie kuokoa maisha hayo.

Putin calls on Ukrainian troops in Kursk to surrender, as Zelensky asks US to put pressure on Russia

 


Trump amegundua kosa alilolifanya.

Ukraine na Marekani walikuwa na makubaliano kuwa Marekani ndiyo ingehusika kulipatia jeshi la Ukraine taarifazote za kiintelijensia kuhusiana namovements za majeshi ya Urusi. Ghafla kwa maamuzi ya kukurupuka, Marekani ikajiondoa, na majeshi ya Urusi yakaweza kufanya movements zote bila ya hofu yoyote. Kwa muda mfupi yakalizingira jeshi la Ukraine, jambo ambalo awali lisingewezekana.
 
hujui lolote
 

Trump says ‘thousands’ of Ukrainian soldiers encircled in Kursk; Ukraine says that’s ‘untrue’​

Ukraine insists its troops aren’t surrounded, but they are pulling back from areas they captured last summer.

Source. Kyiv, politico, reuters
 
Sasa kwanini waondoke.Au wameamua vita basi tu.
 
Nahisi katika hiyo list lazima kuna Mamluki wengi wa Nato na vifaa ambavyo wanaogopa kuangukia mkononi mwa Urusi au hawataki wafe
 
Unajua maana ya makubaliano?
Hakuna makubaliano ya kupeana taarifa za kijasusi kati ya Marekani na Ukraine bali Marekani alikuwa anafanya hisani tu na ndio maana alipo amua kutokuwapa hizo taarifa hakuna aliye wahoji.
Alafu mbona kwenye vita ya kuikamata Maliopol asikari wa Ukraine walizingira na kwenda kujificha kwenye kiwanda cha chuma mwishiwe wakarazimika kujisalimisha?
Mbona kwenye vita ya kuiteka Bakhiumt asikari wa Ukraine walinusulika kuzungukwa kilicho wanusuru ni kuukimbia mji huo baada ya kuona dalili za kuzungukwa?
Au hizo taarifa zao za kijasusi mbona hazijawasaidia kuizuia Urusi kuiteka ardhi kubwa sana ndani ya nchi hiyo?
Vita imewashinda mmeanza propaganda za kijinga?
 
Kabla ya kunyimwa intelijensia na marekani,hao ukraine huko kursk walikua wakibondwa tu,mwezi uliopita russia walirudisha 60+% ya eneo,ni vile CNN na BBC haziwaambii tu
 
Huu ni uongo mtupu ni propaganda za russia na putin tu, nyinyi mnalishwa propaganda mnakuja na mihemuko hapa Kyiv wanakataa mbingu na ardhi hakuna aliyezingiwa,

putin toka amevamia Ukraine siku ya kwanza aliwataka jeshi la Ukraine li sarende na alipigwa karudishwa alikotoka sasa anarusha vi-drone tu huko aliko

 
Putin anapiga propaganda sana, Ukraine wako vizuri sana ndio mana Zelensky bado anataka mzigo upigwe Trump ndio kauzibe hana mpya mara leo hivi mara kesho hiv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…