Trump anaisaidia Nigeria kuwaangamiza Boko Haram kwa bile wanaua watu

Trump anaisaidia Nigeria kuwaangamiza Boko Haram kwa bile wanaua watu

Anachokifanya ni kitu chema sana, anawasaidia wakristo wapate haki yao ya kuishi na uhai.
 
Mungu azidi kumbariki Trump, maana hao mawakala wa sheani kadiri wanavyozidi kuwaua watumishi wa Mungu, wanafikia kuamini shetani wamwabudiye ana nguvu kuliko Mungu wa kweli.
 
CNN wametoa taarifa kwamba wanakijiji ambao kijiji chao kimeshambuliwa wameshangaa kwa hatua hiyo. Wanasema hawana historia ya vitendo vya IS kijijini kwao.
 
CNN wametoa taarifa kwamba wanakijiji ambao kijiji chao kimeshambuliwa wameshangaa kwa hatua hiyo. Wanasema hawana historia ya vitendo vya IS kijijini kwao.
Kwaiyo walioshambuliwa ni akina nani?

Je kama magaidi yalikimbilia huko?
 
Siwajui walioshambuliwa. Ila Magharibi walimpiga Saddam Hussein kwa madai anamiliki silaha za maangamizi ya halaiki. Walipokwisha mshinda hawakuzikuta hizo silaha ndipo wakasema lengo lilikuwa ni kubadilisha utawala.
 
Ukweli mchungu ni kwamba America imeshaona potential ya Nigeria kwenye Oil deposits.kwahiyo anatengeneza mazingira ya Nigeria iwe haitawaliki ili waibe mafuta vzr
 
Ukweli mchungu ni kwamba America imeshaona potential ya Nigeria kwenye Oil deposits.kwahiyo anatengeneza mazingira ya Nigeria iwe haitawaliki ili waibe mafuta vzr
Mara nyingi huwa mnadanganyana hivyo hivyo ili muwalinde hao magaidi wenu wa kiislam
 
Anachofanya ni Haki? Kama ni haki dunia imuunge mkono na atembelee na vinchi vinginevyo ambavyo vinaua kubaki madarakani.
Ana jambo lake mkuu subiri kidogo utaskia, nigeria inazalisha mafuta kwa wingi sana kama ilivyo kwa za mashariki ya kati
 
Back
Top Bottom