Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

Trump anasema ajali ya ndege iliyotokea Washington ni kwasababu ya sera za kuruhusu watu wa asili ya mataifa kuruhusiwa kuongoza ndege USA.

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious.

Trump ameyasema hayo alipokuwa anazungumza na waandishi wa habari kuhusu ajali hiyo.

Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa wahamiaji Marekani katika kipindi hiki cha uongozi wa Trump. Tutaona mengi.

Source: BBC World
 
Huyu jamaa amedhamiria kuwabutua vibaya wahamiaji masikini 🤣🤣😂
Kwanini hamtimui Elon musk?
 
Lakini kama kuna ka ukweli hivi............sasa hapo akutane na walimu wa kibongo ndio atakohoa kabisaa..................unakuta alifeli na bado kaaminiwa kufundisha ........harafu wanategemea viwango vya kufaulu kuongezeka ........hapo labda kuongeza ukubwa wa sehemu za siri na mapana ya boksa au chupi
 
Trump amelaumu uongozi wa Obama na Biden kuruhusu watu kuja kufanya kazi ambazo zinahitaji ma-genious na hivyo kuruhusu hata watu wenye ulemavu wa akili kufanya kazi maalumu kwa ma-genious.

Mambo yanaendelea kuwa magumu kwa wahamiaji Marekani katika kipindi hiki cha uongozi wa Trump. Tutaona mengi.
Weka source au bandiko ili tuthibitishe kabla ya kumbagaza. Maana sasa hivi DTrump anwekewa maneno mdomoni.

Yaani amekuwa "meme"
 
Kwa heshima ya jukwaa hili modes msiruhusu mtu kuleta habari bila ya kuweka chanzo......
 
Haya, wabeba ma box na watunza wazee huko kishanuka - njooni tulime matikiti hukuu ardhi ni ya bwereree!! Nguvu zako tu.
 
Mzee huyu balaa
Anaulizwa utaenda kuangalia au kuzuru mahali ambapo ajali imetokea?
Jibu lake sasa
Screenshot_20250131_171404_Instagram~2.png
 
Hivi huyu Trumpet hana vinasaba vya Urusi kweli...? Anajifanya yeye Muamerika asilia wakati Red Indians waliwapoteza huko..!
 
Back
Top Bottom