SI KWELI Trump anasema anaweza kuwapoteza wakatoliki na ana mafaili yao

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Narudia tena . katoliki hawana nguvu yoyote zaidi ya propaganda zilizotengenezwa . Hapa bongo mnadangwa ila bila ya ulinzi wa USA hawana cha maana . USA ndiye anawalinda wakristo tena kwa nguvu za kijeshi .

Rejea comments zangu , siku moja nitakuja na uzi . Nguvu ya katoliki ni kukusanya sadaka na propaganda :utasikia wana kitengo cha majasusi , hamna chochote ni uongo
 
Nyie si mnajifanyanga sijui katoliki inaongoza dunia
Haya Trump amesema anaweza kulizimisha kanisa lote na kulipoteza
Vatican files hizo utakuta ndio mambo yote ya kulawiti watoto dunia nzima

View attachment 3575955
Habari ambayo si ya kweli lakini mwendawazimu ameshakuja na yatayokuwa ni maelezo ya ndani atakayotiririka nayo Trump.
 
Catholic Church wana nguvu zaidi ya mataifa yote combined, UN, WB, IMF na organisations zote pamoja na makampuni yote worldwide combined.
Mimi si mtu religious, siamini katika myths lakini kuna vitu hapa duniani kama si mfuatiliaji hauwezi kuvifahamu.
 
Hakuna kitu kama hivho ni uongo..Hakuna hiko kitu hata siku moja ...Huo ni uongo wa miaka kibao , ukweli ni kwamb hawana nguvu.
 
Fake news, jufunze kuhakiki mzee kabla ya kupost Ina ulivyojidhalilisha sasa 😂 😆
Ustaadh Kiminyio
Kama lugha inapanda angalia boko hili ili ujue trending za dunia zinavyokwenda, kama mngejua kusema neno Fake news tokea zamani wala hata msingekuwa mnaenda kuwapigia kura wanasiasa wenu
Huyo trump mwenyewe kuna siku inapita bila kuongea utumbo ambao ni fake news zisizokuwepo na bado anawafuasi wanamuamini mpaka hata JF wapo hawa walokole mavi Echolima1 na hamis77 ?

 
Swali hiyo post aliyoweka pichani ni kapost Trump kweli ? sababu Mimi app ya truth ninayo nafuatilia post za Trump hakuna kitu kama hiko.

Na nina account za Maga na Trump haters X , insta , YouTube nk kitu kibaya kuhusu Trump waoa wa kwanza kupost nilishangaa kuona hiyo post hawajaweka kumkandia Trump nimekuta hapa kwako Jf
 
Papa kaingia cha kike sasa kanisa lote linadhalilishwa
Catholic si papa ,catholic ni mfumo ambao trump mwenyewe ameukuta.

Kanisa halija dhalilika, we all know mdomo wa trump, huwa anadhalilisha viongoz wa nchi zingine bila kujali. Alianza na majirani, kaja eu then akaja africa

So dunia inafaham mzee wa kubwatuka
 
Whether that was fake news or not but trump got balls to insults the catholic church and pope and called it "weak" shows a lot about US arrogancy and not just Trump.
It was all out of respect that we have never seen catholic church got insulted by US sitting president and not because they have anything of extra formidable myth that they are untouchable, and now there you go...........
Papa amechutama
 
We all know trump got big mouth, pissing on anybody dare to question hisi ways.

Wonder why europe doesnt want to support his war campaigns? First he piss on all of them, then he needed their help. They said no

So no he aint got balls, and he nothing on the church, the only thing he gots is a disrespect to any body dare to opposed his ways
 
Hakuna kitu kama hivho ni uongo..Hakuna hiko kitu hata siku moja ...Huo ni uongo wa miaka kibao , ukweli ni kwamb hawana nguvu.
Kaa na huo ukweli wako, nobody is forcing anyone to believe in anything. Stay with what according to your level of understanding or your level of dumbness or whatever is your general assertion of intellectual and personal autonomy.
 
Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha kuwa nukuu hiyo ni ya kughushi na haijatolewa na Rais Donald Trump kupitia ukurasa wake huo.
Kama mmeshajua kuwa chanzo cha taarifa ya uzi ni FAKE kwanini hamfuti? Au mnataka kujaza server na kupotezea watu muda kusoma uzushi, uongo??
Moderator Active
 
Pole sana kwa Fake-News!!!
 
Wewe ni mwehu Midevu na majini yakupeleka kubaya anza kufuga ng'ombe wa maziwa na kuku wa mayai Acha ujinga wa kufuga Midevu na Majini utapotea!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…