Trump anasema Zelensky hayuko tayari kwa ajili ya Amani

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
20250228_214434.jpg
20250228_214506.jpg

Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu.

Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
 
View attachment 3253724View attachment 3253717

Hii inaitwa: "things fall apart" au "the way the cookie crumbles."

"He disrespected the united state in it's cherished oval office."

Kwamba: "he's not ready peace, once he's ready he can come back."

Atawakumbuka wajomba zake, Kamala Harris na Joe Biden.
 
Na wewe unaamini huo ujinga wa Trump, pole sana
 
Ukisha shindwa vita una option gani?

Alichoambiwa ndiyo ulio ukweli.

Huo ndiyo anapaswa kuujua Hammas na hata wewe ndugu Tshisekedi.

Ukishindwa vita hata kufanywa mtumwa ni halali. Nani alishashindwa vita na akatamalaki?

Na huo ndiyo ulio ukweli mchungu!
 
Bora kushindwa vita kuliko kusaini mkataba wa kishenzi,

Zelensky si kajamaa. Zelensky ni Mwanaume.

Trump asipotoa msaada doesn't matter Kwanza hatakua raisi milele atakuja mwingine atatoa msaada na hiyo isipotokea nchi nyingine zitawapa support, kwa Vyovyote at the end Zelensky anaonekana Shujaa mwenye msimamo .

Kamwe shida zisikufanye uchukuliwe kama pic of Sh*t .
 
Zelensky hajashindwa vita
 
Humu JF kuna wanaume familua yake ikivamiwa na majambazi dume zima linajipeleka kwa jambazi huku watoto na mke wakiwa wamekaza.
Zele kafanya kitu kizuri sana na ni funzo kwa viongozi wa afrika kuwa kutokuwa na nguvu sio kwamba ndiyo uwe bwege wa kusign tu mikataba.
Zele kakataa maana mkataba ni wa kipuuzi hauna security grantee sasa ni raisi gani mwenye akili timamu angekubali.
 
Bora kushindwa vita kuliko kusaini mkataba wa kishenzi,

Zelensky si kajamaa. Zelensky ni Mwanaume.

Trump asipotoa msaada doesn't matter Kwanza hatakua raisi milele atakuja mwingine atatoa msaada na hiyo isipotokea nchi nyingine zitawapa support, kwa Vyovyote at the end Zelensky anaonekana Shujaa mwenye msimamo .

Kamwe shida zisikufanye uchukuliwe kama pic of Sh*t .
Naunga mkono hoja.

Ukiwa legelege kisa una shida siku utakuja ombwa kalio.
 
Trump nimtu wa hovyo sana,huwezi kuruhusu mjadala wakipumbavu namnaile mbele ya waandishi wa habari tena Ikulu.

Wajingatu ndio wanaweza kudhani Zelensk ameaibika pekeake, ileniaibu kubwa sana kwa USA.

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 3253724View attachment 3253717

Mimi nakaona haka kajamaa ni kakuda sana. Kuna namna kanataka kafanye uboss huku kenyewe ndio kaliko na tabu.

Hakajui bila US hio nchi yake ingekuwa mkoa wa Urusi tayari
Dogo hujui maana ya uzalendo. Wapalestina wanagombana na Israel wakijua kabisa hawawezi kushinda, uzalendo wa nchi yao wapo tayari kufa. Zele na Wa Ukraine ni hivyo hivyo.
 
Back
Top Bottom