Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
- Thread starter
- #21
Ikiwaivyo then vita kati ya US na Russia haikwepeki, kwasababu Putin akimalizana na Zelensk ataanza kuwa chokoza NATO na ndio hapo US atalazimika kuwasaidia direct washirikawake.1. Truump anamuona Zele kuwa ni mzembe cos angeweza kuzuia hii vita yake isitokee ila alikaza fuvu.
2. Trump anatambua na kuiheshimu Russia kama nchi zenye uwezo mkubwa wa kijeshi na anajua gharama za kumkabili kijeshi Urusi ni basi ni WW3 lakini ata hivyo anaamini kuwa Urusi ilichokozwa na hakuna ambae hakuwa anajua kama Russia itaipiga Ukraine.
3. Trump hawezi kutia msaada ya kijeshi tena wala wa kiinterejensia kwa Ukraine cos kilo kilichotoka mwanzo kipaswa kurudi Marekani.
4. Trump hataki kabisa masuala ya kumuhakikishia usalama Ukraine cos kufanya hivo itampasa Ukraine aingie NATO kitu ambacho kamwe hakiwezi kutokea otherwise lazima Marekani haingie vitani na Urusi na mshinde Mrusi.
Trump na washirika wake wanatakiwa kumzuia Putin mapema kabla hajaichukuwa Ukraine yote vinginevyo madhara yatakuwa makubwa badae Putin akiwasogelea karibu.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app