Mimi ni. Mgeni jamii forum Ila toka nianze kusoma hoja zako naona leo umeandika kama mtu anayejielewa, angalau maana unaandikaga vapour mkuuHata angekuwa Spika wa Bongo, rais hana mamlaka ya kumuondoa 1. VP, 2 Spika, 3, Jaji Mkuu, 4. CAG, 5. Mbunge
Kww vile ni Bunge la CCM dominated parliament, then kupitia CCM party Caucasus, wangeleta motion ya kipiga kura ya kutokuwa na imani na Spika, kwa wingi wao, hoja hiyo ingepita na Spika angeondolewa, ila kumfananisa Spika yule anayejua wajibu wa Bunge katika kuisimamia serikali na huyu Bunge letu linalijipendekeza? kwa serikali, (note alama ya kuuliza kwenye neno Kujipendekeza nisije nikaitwa tena Dodoma), ni watu wawili tofauti sawa na kufananisha mbingu na nchi!.
P
Sent using Jamii Forums mobile app