Trump and Nancy: Look at them as if they are kids in high school

Mimi ni. Mgeni jamii forum Ila toka nianze kusoma hoja zako naona leo umeandika kama mtu anayejielewa, angalau maana unaandikaga vapour mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ni. Mgeni jamii forum Ila toka nianze kusoma hoja zako naona leo umeandika kama mtu anayejielewa, angalau maana unaandikaga vapour mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu, kwa vile umesema wewe ni mgeni, ukizoea utanizoea na kama una kichwa fulani hivi utaweza kunielewa lakini kama na wewe vichwa vyenu ndio hivi hivi vya kufugia nywele tuu, utaendelea kuona vapours tuu.
P
 
Ndugu kajua kati ya vitu vinakukera sana hapa duniani ni pamoja na Bunge letu kufanya kazi kwa kujipendekeza kwa serikali, hiyo alama ya kujiuliza umeiungaunga mpaka sentensi yenyewe imepinda. Kwakweli Bunge letu la Tanzania linatia kinyaa ata kulisikia, kwa upande wangu ningekua Mbunge ningeachia ngazi kwa kujiuzulu nisingeweza kukaa kwenye huu upuzi unaoendeshwa na Job Ndugai asilani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…