Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Maybe uko sahihi.
Lakini kwa trump kutokuwa na mpango wa kupima ni ujinga coz hivi karibuni alikutana na ofisa wa kibrazili ambae amekutwa na ugonjwa huo.
Na Ivanka trump alikuwa na mkutano na ofisa wa australia ambae nae amekutwa na ugonjwa huo.
Kwa mtu mwenye kuchukua tahadhari angepima tuu.
Yasije yakamkuta ya Rudy Gobert
Ndio mkuu niko negativeHayo ni maoni yako tu.
Kupima ni uamuzi wake.
Wewe umepima?
acha kuwa (ZUZU)unaweza kusema huna mpango wa kula chakula kwa mwezi mmoja jamii Itakutafsiri vipi ...
Na wale walikuwa wanasema kaileta Allah kuwaadhibu wachina kwa kugandamiza waislam na uislam wako wapi?Wale wapuuzi waliokua wakisema katengenezewa Iran na China wako wapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa sasa Trump ni Mdunia namba moja, hata akisema hana mpango wa kula chakula cha mchana leo hawa watu watasema anaogopa kuwekewa sumu, hawa ni watu wanamdis Trump Kiana lakin wanamkubali mno.Mtu kusema hana mpango wa kupima ndo anaogopa?
Tafsiri zingine za kijuha kabisa.
hivi vyote vinahusu UHAI
NAKULA TAMBI NA MAZIWA HAPA UNASEMAJE...
HahahaNa Trump kwa ule umri wake akiugua Corona haponi![emoji1787][emoji1787][emoji1787]