zinginary
JF-Expert Member
- Dec 18, 2015
- 2,483
- 1,705
Ah ah ah ah ah ah we jamaa fala kweli umewapa za uso huku unatabasamu..Jibu rahisi tu mimi ndie niliependekeza hilo group liundwe ili angalau arosto ya kusoma ipungue coz kule anatoa 4episode kwa wiki, wakati huo hapa ile itaendelea kama ilivokuwa mwanzo tofauti ipo kidogo tu nyie mkiwa na ep 10 , sisi tuna 30 lakini mtatufikia Tu.
hata makanisani kuna VIPs wao wanapata huduma popote mchungaji anamfata wakati huo waumini wengine mnaendelea kumsubiri,
ukiandaa kitu kikaungwa na wengi matunda yake ndo haya wakuu jaribuni na nyie kucreate vitu kama hivi neema itawadondokea,
Haina haja ya mabeef kama watoto wa kike, hata mwalimu anapofundisha darasani huwa anatumia vitabu vilevile kama wengine wanavotumia lakini akifaulisha sifa zinamwendea yy peke yake badala ya waandishi wa hivo vitabu, kutransilate lugha hasa ya kiintelejensia au kidaktari ni shuhuli mkuu tusidanganyane,,,
NB:
nimecheka jamaa alivoanza eti nimetumia siku nzima kufatilia kiapo cha trump,
Hv wikipedia pia walianzia hapo???
Wasipo helewa na. Hapa basi wanabeef binafsi
Ila nifan wengi walikuwa wanamtaman naisi...