Trump apewe nuclear codes

Nina imani hata Yesu angeishi katika dunia hii ya sasa ule uvumilivu wake ungepungua kama si kuisha kabisaa.
Sometimes mtu unalazimishwa kujibu hata kama si mtu wa dizaini hiyo,
Nafikiri njia nzuri ya kutoa donge moyoni ni kuyatema tu, ndo maana watu wanashauriwa kulia hadi machozi yaishe hyo ndo dawa ya kumaliza hasira,

Watu wanatokwa povu kama wamekatwa mishahara yao aisee
 
Hahahaa! Ila bora yaishe tuu! Hatupendi yatokee mkuu..

Yanavuruga mengi sana
 
Mkuu The Bold
Nakumbuka Mwaka Jana Miezi Ya Kuelekea Mwisho Wa Mwaka Kuna Gazette Lilichukua Makala Yako Moja Iliyohusu Kukamatwa/Kuuwa Kwa Osama Bin Laden.

Gazette Likajipamba Kwa Kona Zote Kwa Nukta Baadaye Ulikuja Kugundua Kuwa Ile Makala Ni Copy And Pest Na Uliyoweka Hapa Jf. Nadhani Baada Ya Kuwaeleza Ukweli Ilibidi Mfanye Mazungumzo Na Mwisho Mkakubaliana.

Kulikuwa Na Umuhimu Jamaa Kukuomba Ridhaa Yako Ili Aiweke Hiyo Makala Hapa Jf
Nadhani Namna Nzuri
Jitahidi Utuletee Wewe Mwenyewe Hizi Makala Maana Unaweka Hoja Mezani
Wasiojua Wanajua.

Binafsi Nadhani Umsamehe Bure Na Group
Livunje Halafu Uliunde Upya Kuondoa Ukakasi Wa Wanaomwaga Taarifa Zako
 
endeleeni kudukua hizo story mtuletee hapa, make wengine hatuna hiyo hela
 
Mkuu The Bold
Jana Trump Ndiyo Kabonyeza Kile Kidude Ama Bado Maana Syria Kilinuka Jana
 
Trump namuamini sana yule mzee, sasa waarabu wabishi watakoma maana chizi sasa kapewa rungu

Huyo mrusi mwenyewe hana lolote kama Trump akiamua kukinukisha kisawasawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…