johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,730
Nina imani hata Yesu angeishi katika dunia hii ya sasa ule uvumilivu wake ungepungua kama si kuisha kabisaa.Hahahaa! Nipo mkuu post # 96
Ilibidi niwe mpole kidogo baada ya kuona personal attacks zinazidi badala ya watu kufanya debate ya hoja, sasa ukizingatia mimi na nifah tumenyonya ziwa moja. Ningefanya vurugu sana humu
Lakini pia ni busara kuwa mkimya hasa unapoona kuwa watu wana jazba na wewe, wana wivu na chuki juu yako..
Unapaswa kutumia busara ! Wengi humu Jf hatufahamiani katika maisha halisi kuwa ila tumetokea kuwa marafiki humu kutokana na michango na mawazo ya wanaJf
Ni vizuri tukadumisha upendo huo.
Ushauri:
The bold wewe sio malaika hivyo kaa ukijua sio kila mtu anapenda unachofanya..
Mwisho: Naamini tofauti zenu zimeisha mkuu ! Na maisha ya Jf yanaendelea sasa.
Sometimes mtu unalazimishwa kujibu hata kama si mtu wa dizaini hiyo,
Nafikiri njia nzuri ya kutoa donge moyoni ni kuyatema tu, ndo maana watu wanashauriwa kulia hadi machozi yaishe hyo ndo dawa ya kumaliza hasira,
Watu wanatokwa povu kama wamekatwa mishahara yao aisee