Hii ya kwetu itakuwa ''THE NETBALL''Mbona hata hapa kwetu yule Kanali mwenye magwanda ya jeshi anabeba mkoba fulani mweusi kila Mh Rais anapokwenda? Unaitwaje nao ule kwa lugha ya mafumbo?
Huhuhuhuhuhu....hahahahahahahah.!! Mdukuaji amekuwa kama Snowden..
Watu wanampongeza na sisi serikali ya Marekani tunamsaka kwa udi na uvumba..
Yeye amekuja kumlalamikia nani kwa mfano?Hivi yeye kulalamika makala yake kukopiwa kutoka huko ilikotolewa ni kosa?
Well tuseme kacopy kutoka huko wikipedia hakutumia muda wake kukopi na kutafsiri?
Aliyejiaibisha ni nani kati yake anayelalamika kukopiwa makala yake hapa na wewe uliyeko hapa kuunda majungu?
Una kipi cha maana unachokifanya ktk hii thread?
Unapigania nini?
Hahahahahahaha.! Tazama sasa..
Nimekurushia chambo and you have taken the bait, and now you are showing your true colours.. Ndio maana nakwambia wewe ni hater, na nimelijua hilo kitambo tu..
Sawa Mkuu Mimi binafsi sikatai na wala sitakataa kuwa Mkuu The Bold anakipaji cha uandishi lakini si Miungoni mwa walioshauri aanzishe Group kwenye simulizi ya VIPEPEO WEUSI.....kwani kufanya hivyo kunatunyima haki isiyo rasmi humu ndani kisa eti hatuna FWEEZA ya kummotisha Mkuu The Bold......ingawa siyo jambo mbaya lakini sisi wengine ni Mbwa kachoka bado nipo hapa Tazara nadoea kazi ya Zege kwa hawa Wajapani............Kwa maana hiyo basi Mkuu The Bold mimi sina FWEEZA na nataka kusoma mapema kama hao walio kwy Group..............Tshs 5,000/= nyingi sana........Mchana wenyewe nakaanga Machine..........
Yeah huduma.zinapishanaSawa Mkuu Mimi binafsi sikatai na wala sitakataa kuwa Mkuu The Bold anakipaji cha uandishi lakini si Miungoni mwa walioshauri aanzishe Group kwenye simulizi ya VIPEPEO WEUSI.....kwani kufanya hivyo kunatunyima haki isiyo rasmi humu ndani kisa eti hatuna FWEEZA ya kummotisha Mkuu The Bold......ingawa siyo jambo mbaya lakini sisi wengine ni Mbwa kachoka bado nipo hapa Tazara nadoea kazi ya Zege kwa hawa Wajapani............Kwa maana hiyo basi Mkuu The Bold mimi sina FWEEZA na nataka kusoma mapema kama hao walio kwy Group..............Tshs 5,000/= nyingi sana........Mchana wenyewe nakaanga Machine..........
Acha ubinafsiHebu kuwa na aibu hata kidogo..
Huo mchezo unaoufanya wewe/mwenzako anayekuibia makala kutoka kwenye group la "Simulizi Za The Bold" alafi unakuja kuziweka huku bila aibu kujifanya za kwako siku zenu zinahesabika.. I'm tracking you down, soon mnakuwa removed from the group.. Ndani ya siku mbili tu nawatumbua..
Shame.!!
Ni kweli Mkuu.Muda haukufika wa kuileta ila naamini angeileta.kwani ametuletea mangapi aje atufiche ili.?ila sio fresh kuweka kazi ya MTU bila ruhusa yake.kama unakumbuka alishawahi kulalamika kuhusu gazeti la kisiwa kukopi makala ile ya kuuawa kwa Osama.Allah amrehemu.akawalalamikia jamaa wakamuelewa.hapa Tanzania kuna waandishi kibao.mbona hawaziandiki hizi makala kama ni kazi ndogo?tuheshimu nguvu na juhudi za mtu.pia na muda wake anaokaa kusoma na kutuandikia.
Ah ah ah ah ahHii ya kwetu itakuwa ''THE NETBALL''
Mkuu vizuri sana bora umemuelewesha huyu mbinafsiWalio anzisha JamiiForums ni positive great thinkers,
Maana walikuwa na ndoto ya kuwaunganisha watu wote bila kujali utofauti wao kwa lengo la kujifunza na kushea habari.......Hawatofautiani sana na wale African Elites.
Si lazima tukubaliane wote kwenye mada zote zitakazoletwa hapa, lakini kikubwa ni kwamba kupitia JF watu wote wanaopingana ama kukubaliana jambo wameunganishwa.
Sasa leo mtu anakuja kuleta mgawanyo wa wajumbe kwa vitu vidogo kama vile vistori vya kutafsiri kutoka google.....Eti kuna kakikundi ka wajumbe ndo watakaohusika tu.
Kuna watu kama wangekuwa wamiliki/waanzilishi wa JF, kungekuwa na kiingilio na ada za kila mwezi kwa members wote. Uzuri ni kwamba akili siyo makalio kila mtu awe nazo, zinaangukia penye utu.
Hebu kuwa open minded halafu uone kama hii mada ina nguvu ya kumtoa mtu povu kama siyo gubu na kuwa akili za kiubinafsi?
hahahahaha The bold[emoji115]Hebu kuwa na aibu hata kidogo..
Huo mchezo unaoufanya wewe/mwenzako anayekuibia makala kutoka kwenye group la "Simulizi Za The Bold" alafi unakuja kuziweka huku bila aibu kujifanya za kwako siku zenu zinahesabika.. I'm tracking you down, soon mnakuwa removed from the group.. Ndani ya siku mbili tu nawatumbua..
Shame.!!
Unauuliza majibu mbona..kazi kafanya yeye ni yake ndioYeye amekuja kumlalamikia nani kwa mfano?
Amekuja kulalamika kwa members ili tujue kwamba makala ni yake na sii ya mleta mada?
Aiseeeee wewe ni mkali wa hizi kazi baba.
Umekuwa ukiniambia hilo nikawa napingana nawe vikali kwamba jamaa ni mtu poa.
Ila kwa uzi huu naomba unisamehe, nilikosea kumuamini mnafiki yule aliyejificha ktk mwamvuli wa ukarimu.
So far nakupongeza kwa moyo wa kipekee ulionao,umekuwa ni mwenye kushambuliwa na kukejeliwa lakini nafurahi maana mwisho ni wewe ambaye huibuka mshindi.
Am really really proud of you my sweetheart
[emoji8] [emoji8] [emoji8]
Tumnyonge tu lakini haki yake tumpe.kiingereza cha mambo ya intelligence kilivyokuwa na misamiati migumu.alafu mtu anajitahidi kututafsiria na kutuletea sio mchezo."Nitawatumbua",ha ha ha ha,huyu ,@Thebold kalewa madaraka huyu,ha haha,
anyway mi nakubali kabisa kazi anayoifanya si ndogo kamwe,kwanza ni timeconsuming,so anatumia mda mwingi sana hadi kukamilisha hiyo kazi
na impact yake kwa watu ni kubwa,maana sio wote wanaweza kuelewa vizuri lugha ya kingereza,so anasaidia kusambaza knowledge kwa watu ambao hawangeweza kuipata,
na kama kweli mjamaa kaenda huko kwenye group na kucopy kama ilivyo na kuileta hapa,reaction ya thebold naweza kuirate kama Reasonable
Mimi sina tabia za kubeza watu, lakini alivyo react ame symbolize immaturity.Kuishi na watu ni.kaz kudadek..watu walio kuwa wanasoma KIPEPEO ndio walio muomba THE BOLD afungue grp la whats app japp wampe yakupozea koo kwa kazi nzur
SasaCHARMILTON na wenzio mnaobeza bila kujua hivi story ya KIPEPEO mmeisoma kweli??
Maana ni.nzur ..so watu wakaona soo kusoma bure inakuwa kama wanamuiba mshikaji vile...THE.BOLD hajabagua watu kabisa .....
Watu wasengerema kinoma eti sifa anazo pewa na watoto wa kike...wakuu kutafsir si jambo la kitoto
Usome uelewe then uandike then jitu linacopy kilais lais hivyo...yanakuja majitu yanasemwa yanatengwa
Someni KIPEPEO muone ushujaa wa huyu wa mtu
Achen zenu jamaa.yupo gerezan anamkosa cheupe na majitu inatibua zaid huku
Mkuu The Bold DHAMIRA INANISUTA POLE SANA ILA......NAAKISI MAISHA HALISI......SI UMESEMA KWENYE VIPEPEO WEUSI...........so sorry a Millions.....nipo bado hapa Tazara Nasota tu......hii comment ndio imefanya nikukumbuke mdau maana ID yako ilikuwa familiar kichwani mwangu lakini nashindwa kukumbuka vizuri.. ila uliposema "zege", "tazara" ndio nimekukumbuka..
aisee kumbe ni wewe mkuu!! nimehuzunika sana, wewe sio wa kushangilia namna hii kwa kuona dhulma na hujuma ikifanyika dhidi yangu.. i didnt expect this from you!!
Anyways, siku zote huwa naamini; "MUNGU HAMTUPI MTU MWENYE DHAMIRA YA KWELI.! HAWEZI SHINDWA, HAWEZI KATA TAMAA"
Kama Mungu alivyokuwa upande wangu 2014 na pia akawa pamoja nami mwaka jana octoba.. Ndivyo hivyo hivyo nitakavyoshindwa dhidi ya hawa wahuni..
"Nitawatumbua",ha ha ha ha,huyu ,@Thebold kalewa madaraka huyu,ha haha,
anyway mi nakubali kabisa kazi anayoifanya si ndogo kamwe,kwanza ni timeconsuming,so anatumia mda mwingi sana hadi kukamilisha hiyo kazi
na impact yake kwa watu ni kubwa,maana sio wote wanaweza kuelewa vizuri lugha ya kingereza,so anasaidia kusambaza knowledge kwa watu ambao hawangeweza kuipata,
na kama kweli mjamaa kaenda huko kwenye group na kucopy kama ilivyo na kuileta hapa,reaction ya thebold naweza kuirate kama Reasonable
Ulishawahi ona habari ya gazeti la mwananchi na nipashe zinafanana?ingawa waandishi wao wote walikuwepo katika tukio moja?Ni kweli Mkuu.
Ila jamaa katuletea uhondo.
Kwani wewe aupend uhondo huu.?
Kosa lake akuweka wazi tu kua Makala ni Ya Bold.
Ndo maana nikasema mbegu nzuri inaanguka penye udongo mzuri aisee.Mkuu vizuri sana bora umemuelewesha huyu mbinafsi