mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Ninyi ndo wenye ubinafsi mnaona jamaa anakubalika.mnaleta majungu.Acha ubinafsi
Kwani yeye akikopy kule na kuleta humu kuna nini.!?
Acha kujifanya unajua sana mbona hata we pia ulisoma sehemu,
Makala ingekuwa yako kama ungefanya uchunguzi na kugundua peke yako.
Kumbe huyu ndiye yule jamaa aliyekuwa analalamika kule kwenye vipepeo weusi kwamba maisha ni magumu ndio ukamtia moyo?hii comment ndio imefanya nikukumbuke mdau maana ID yako ilikuwa familiar kichwani mwangu lakini nashindwa kukumbuka vizuri.. ila uliposema "zege", "tazara" ndio nimekukumbuka..
aisee kumbe ni wewe mkuu!! nimehuzunika sana, wewe sio wa kushangilia namna hii kwa kuona dhulma na hujuma ikifanyika dhidi yangu.. i didnt expect this from you!!
Anyways, siku zote huwa naamini; "MUNGU HAMTUPI MTU MWENYE DHAMIRA YA KWELI.! HAWEZI SHINDWA, HAWEZI KATA TAMAA"
Kama Mungu alivyokuwa upande wangu 2014 na pia akawa pamoja nami mwaka jana octoba.. Ndivyo hivyo hivyo nitakavyoshindwa dhidi ya hawa wahuni..
Ok sawa, kashalalamika na sasa hivi ni suspected kuwa huenda makala ni yake, kwahiyo nini kinafuata?..........Binafsi nadhani hakuna cha msingi zaidi ya kuanika utoto.Unauuliza majibu mbona..kazi kafanya yeye ni yake ndio
Sasa na wewe unamlalamikia nani?Mimi sina tabia za kubeza watu, lakini alivyo react ame symbolize immaturity.
Alivyokuja hapa kulalamika, anamlalamikia nani kwa mfano?
Mleta mada kavunja sheria ipi ya JF?.........Nadhani kuna ma mangi meza yenye secrete fetish ya kuhodhi fikra za watu.
Huo muda wa kujibizana na vichaa naupatia wapi baby?hahahahahah.!! Ndio binadamu..
kuna mtu amekuquote hapo juu makusudi kukuprovoke kwa kutumia lugha ya matusi.. naomba usimjibu kabisa.. achana naye..
Mwisho wa siku tutaona nani ni mkweli.!! time will tell, Mungu hamtupi mtu mwenye dhamira ya kweli..
Mkuu The Bold DHAMIRA INANISUTA POLE SANA ILA......NAAKISI MAISHA HALISI......SI UMESEMA KWENYE VIPEPEO WEUSI...........so sorry a Millions.....nipo bado hapa Tazara Nasota tu......
Nifah,The Boss hawasemi chochote kwangu......Labda wananihurumia na wameniona nina njaa......
Waaache kuiga.waandike zao.Ok sawa, kashalalamika na sasa hivi ni suspected kuwa huenda makala ni yake, kwahiyo nini kinafuata?..........Binafsi nadhani hakuna cha msingi zaidi ya kuanika utoto.
Kuna sehemu nimelalamika? au hujui maana ya kulalamika?Sasa na wewe unamlalamikia nani?
Huo muda wa kujibizana na vichaa naupatia wapi baby?
Tuna mengi ya kufanya eti?
Kwahiyo mtu kuleta mada JF hadi aruhusiwe na mtu?Waaache kuiga.waandike zao.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa na wewe unamlalamikia nani?
Kumbe huyu ndiye yule jamaa aliyekuwa analamika kule kwenye vipepeo weusi kwamba maisha ni magumu ndio ukamtia moyo?
Daaaaaaaahhhh [emoji87]
Sure [emoji8]kabisa mama.! Nadhani ujumbe umefika..
lets get out of here..
Mimi sina tabia za kubeza watu, lakini alivyo react ame symbolize immaturity.
Jamaa alikuwa na maana kuwa kuna member wa group lake anapakua kule na kuleta hapa bila idhini,means anaiba kazi yake,
ntamtumbua ana maana huyo alieiba kazi atamtumbua kwa ;maana ya kumfuta kule kwenye group,
Alivyokuja hapa kulalamika, anamlalamikia nani kwa mfano?
--mkuu hata mi kabla sijaelewa what is this all about,nilitaka kumpinga sana,ila kama jamaa anacopy toka kule na kusema ni kazi yake,lazima jamaa atareact tu.
Mleta mada kavunja sheria ipi ya JF?.........Nadhani kuna ma mangi meza yenye secrete fetish ya kuhodhi fikra za watu.
Sina chuki yoyote usilete mapenzi kwenye maswala ya msingi ,Aiseeeeeeeee sikuwahi kufikiri kama nyie watu mna chuki kubwa kiasi hiki!
Japo hatufahamiani lakini tumekuwa tukiishi kwa upendo humu kwa kuquoteana na kupeana likes ktk threads mbalimbali kwa furaha kumbe hizi ndio rangi zenu halisi?
Suala la hii mada na case ya kucopy makala kutoka group la WhatsApp linahusiana vipi na mimi au hadi mfikie kumuambia The bold kajawa kiburi cha wanawake?
Hii ni mara ya kwanza yeye kulalamikia suala la makala zake kukopiwa?
Lakini kama ilivyo ada ya mja kunena hamkosi sababu.
Malalamiko yake mengine yaliyopita wapo waliosema anatafuta kick,hivyo hata sasa baada ya yeye kuwa nami sababu zimekuwa mimi ndiye niliyetumia ID yake hapa,anatumia makala zake kama chambo,anajitafutia credits za Ke.
Poor you guys,I used to respect you nikidhani ni watu wa maana kumbe ni wapuuzi fulani wenye wivu na chuki kali.
Mngekuwa maGT wa ukweli mngelumbana hoja kwa hoja bila kuingiza masuala mliyoyaingiza.
Mmejishushia heshima na nimewadharau kupita kiasi.
Hayakuwa malumbano ya hoja bali personal attack.
Wewe utakuwa una bifu na jamaa tangu muda,sasa ulikuwa unamtafutia sababu umlipue.mwenzako ana lalamika kwa sababu.wewe hauna sababu ya kumlalamikia.anachodai ni haki yake.kama ni rahisi kuandika andika na wewe utuwekee tutasomaaa.Kwahiyo mtu kuleta mada JF hadi aruhusiwe na mtu?
Si kwamba kila mtu analeta mada aliyokutana nayo bila kuvunja sheria za JF?
Nyie mna utofauti upi na yule anayetamani kuzimwa kwa mitandao ya kijamii?
Sasa ninyi nawashangaa.kinachowauma ni nini aasaaa?Sina chuki yoyote usilete mapenzi kwenye maswala ya msingi ,
Mimi silali naye kitandani huyo kwamba kila anachosema lazima nikubaliane naye
Naona mzee umeshikilia bango.kumlaumu jamaa.mbona mleta mada kanyamazaaaaa.anajua alichofanya sio kizuri.Kuna sehemu nimelalamika? au hujui maana ya kulalamika?
Mimi nilalamikie upumbavu?........