Aiseeeeeeeee sikuwahi kufikiri kama nyie watu mna chuki kubwa kiasi hiki!
Japo hatufahamiani lakini tumekuwa tukiishi kwa upendo humu kwa kuquoteana na kupeana likes ktk threads mbalimbali kwa furaha kumbe hizi ndio rangi zenu halisi?
Suala la hii mada na case ya kucopy makala kutoka group la WhatsApp linahusiana vipi na mimi au hadi mfikie kumuambia
The bold kajawa kiburi cha wanawake?
Hii ni mara ya kwanza yeye kulalamikia suala la makala zake kukopiwa?
Lakini kama ilivyo ada ya mja kunena hamkosi sababu.
Malalamiko yake mengine yaliyopita wapo waliosema anatafuta kick,hivyo hata sasa baada ya yeye kuwa nami sababu zimekuwa mimi ndiye niliyetumia ID yake hapa,anatumia makala zake kama chambo,anajitafutia credits za Ke.
Poor you guys,I used to respect you nikidhani ni watu wa maana kumbe ni wapuuzi fulani wenye wivu na chuki kali.
Mngekuwa maGT wa ukweli mngelumbana hoja kwa hoja bila kuingiza masuala mliyoyaingiza.
Mmejishushia heshima na nimewadharau kupita kiasi.
Hayakuwa malumbano ya hoja bali personal attack.