Utawala wa Trump umeunda kikosi kazi cha kimataifa kinacholenga kupambana na biashara ya kinachoitwa "utalii wa uzazi" (birth tourism), kikilenga watu wanaotuhumiwa kutumia vibaya visa za Marekani kusafiri nchini humo kwa ajili ya kujifungua.
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuundwa kwa Kikosi Kazi mnamo Agosti 12, 2026, ikieleza kuwa kitashirikiana na Wizara ya Usalama wa Ndani (DHS) kubaini udanganyifu wa visa pamoja na mitandao inayofanikisha utalii huo. Tayari zaidi ya visa 600 zimefutwa ikiwa ni sehemu ya jitihada hizo.
Kikosi kazi hicho kitakagua kumbukumbu za usafiri, maombi ya visa na takwimu zingine za serikali ili kuwatambua watu wanaoshukiwa kuficha nia yao ya kwenda kujifungua nchini Marekani.
Wasafiri wanaotoa taarifa za uongo kwamba wanatembelea nchi hiyo kwa ajili ya utalii au biashara wanaweza kufutiwa visa zao au kunyimwa kuingia nchini humo. Katika baadhi ya matukio, wanaweza pia kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani siku zijazo.
Mamlaka pia zinawalenga wafanyabiashara na watu binafsi wanaotuhumiwa kufanikisha utalii wa uzazi. Mitandao hiyo inadaiwa kutangaza huduma zinazowapangia wanawake wa kigeni mahali pa kukaa na huduma za matibabu wanaposafiri kwenda Marekani kujifungua.
Hatua hii inakuja huku utawala wa Trump ukiendelea na jitihada zake za kubana sheria za uhamiaji.
==============
The Trump administration has launched a global task force aimed at cracking down on so-called “birth tourism” and targeting people accused of misusing US visas to travel to the country to give birth.
The State Department announced the Birth Tourism Prevention Task Force on August 12, saying it would work with the Department of Homeland Security (DHS) to identify visa fraud and networks that facilitate birth tourism. Officials said more than 600 visas have already been revoked worldwide as part of the effort.
Travellers who falsely claim that they are visiting the country for tourism or business could have their visas revoked or be denied entry. In some cases, they could also face restrictions on future travel to the US.
Authorities are also targeting businesses and individuals accused of facilitating birth tourism. These networks allegedly advertise packages that arrange accommodation and medical services for foreign women travelling to the US to give birth.
Officials say some facilitators coach clients on how to conceal their plans during visa interviews.
Source: BBC & First Post
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilitangaza kuundwa kwa Kikosi Kazi mnamo Agosti 12, 2026, ikieleza kuwa kitashirikiana na Wizara ya Usalama wa Ndani (DHS) kubaini udanganyifu wa visa pamoja na mitandao inayofanikisha utalii huo. Tayari zaidi ya visa 600 zimefutwa ikiwa ni sehemu ya jitihada hizo.
Kikosi kazi hicho kitakagua kumbukumbu za usafiri, maombi ya visa na takwimu zingine za serikali ili kuwatambua watu wanaoshukiwa kuficha nia yao ya kwenda kujifungua nchini Marekani.
Wasafiri wanaotoa taarifa za uongo kwamba wanatembelea nchi hiyo kwa ajili ya utalii au biashara wanaweza kufutiwa visa zao au kunyimwa kuingia nchini humo. Katika baadhi ya matukio, wanaweza pia kuwekewa vikwazo vya kusafiri kwenda Marekani siku zijazo.
Mamlaka pia zinawalenga wafanyabiashara na watu binafsi wanaotuhumiwa kufanikisha utalii wa uzazi. Mitandao hiyo inadaiwa kutangaza huduma zinazowapangia wanawake wa kigeni mahali pa kukaa na huduma za matibabu wanaposafiri kwenda Marekani kujifungua.
Hatua hii inakuja huku utawala wa Trump ukiendelea na jitihada zake za kubana sheria za uhamiaji.
==============
The Trump administration has launched a global task force aimed at cracking down on so-called “birth tourism” and targeting people accused of misusing US visas to travel to the country to give birth.
The State Department announced the Birth Tourism Prevention Task Force on August 12, saying it would work with the Department of Homeland Security (DHS) to identify visa fraud and networks that facilitate birth tourism. Officials said more than 600 visas have already been revoked worldwide as part of the effort.
Visa applicants, facilitators in focus
The task force will examine travel records, visa applications and other government data to identify people suspected of concealing their intention to give birth in the US.Travellers who falsely claim that they are visiting the country for tourism or business could have their visas revoked or be denied entry. In some cases, they could also face restrictions on future travel to the US.