Buyaka
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 1,705
- 1,953
Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa.
Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa mengine dhidi ya America kwa kuwatundika makodi ya 100% watakaomwaga bidhaa Marekani.
===================
My take.
Ni lini Afrika tutampata Donald Trump wetu atakaekataa exploitation ya Wachina, Wazungu na Waarabu kwenye nchi zetu hizi za wagongwa wa akili wanaokubali kuliwa na kila mtu ?
Na ataekaacha kumwita kila mja kwa jina la mgeni, mhamiaji na mwekezaji ? Na kuanza kuwaita wavamizi na wahalifu. Na atakaepambana na viongozi wetu wagonjwa wa akili wanaouuza watu wao wenyewe na maliasili zao wakitafuta pesa za kujengea ghorofa zenye swimming pool na za kuhonga vitoto vya chuo?