Trump asema Kuongoza siyo Tamthiliya bali ni Kitu halisi Kwa maisha Bora ya Jamii, adai Kwa Miaka hii 4 atatoa Somo la Uongozi Halisi Kwa Dunia!

Trump asema Kuongoza siyo Tamthiliya bali ni Kitu halisi Kwa maisha Bora ya Jamii, adai Kwa Miaka hii 4 atatoa Somo la Uongozi Halisi Kwa Dunia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Trump amesema binadamu wa Leo wamejikita Kwenye Maigizo ndio sababu Wanasayansi wanaleta Artificial intelligence Kwenye kila sekta Ili walau kupata uhalisia Fulani

Trump amedai ataiondoa dunia Kutoka Kwenye uongozi wa Maigizo Kwa sababu ndio unaochochea Umaskini

Credit: Fox news

Watanzania tujipange Kweli Kweli na hivi Vyama vyetu Vya upinzani Vya Maigizo 😀
 
Aombe Mungu amalize kwani kuna Kifo pia
 
Back
Top Bottom