johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Trump amesema binadamu wa Leo wamejikita Kwenye Maigizo ndio sababu Wanasayansi wanaleta Artificial intelligence Kwenye kila sekta Ili walau kupata uhalisia Fulani
Trump amedai ataiondoa dunia Kutoka Kwenye uongozi wa Maigizo Kwa sababu ndio unaochochea Umaskini
Credit: Fox news
Watanzania tujipange Kweli Kweli na hivi Vyama vyetu Vya upinzani Vya Maigizo 😀
Trump amedai ataiondoa dunia Kutoka Kwenye uongozi wa Maigizo Kwa sababu ndio unaochochea Umaskini
Credit: Fox news
Watanzania tujipange Kweli Kweli na hivi Vyama vyetu Vya upinzani Vya Maigizo 😀