Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Acha uchawi basKwahiyo wewe ndio ulikuwa unaongea na Trump anakwambia hayo maneno? Hii tabia inazidi sasa mod habari Kama hizi ambazo hazieleweki zilikotoka muwe mnazifutilia mbali huko.
Ala kumbe unaishi kwa kutegemea maamuzi ya makaburu? fanya maamuzi yako ndugu we si kidume.Trump amesema kuwa kuendelea kuwafingia watu ndani ni kuwaua zaidi kuliko CORONA yenyewe
Watu wanaopiga namba za dharua imepindukia alisema Trump
Trump amesema wataandaa muongozo wa kukabiliana na janga hili alhamisi hii atatangaza namna ya watu watavyokabiliana na hili janga huku amri ya kutotoka nje ikitekelezeka
Najiuliza Mimi kama wamarekani wamesalimu amri sisi ni akina nani tujifungie hongera JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
Acha upopoma! Yani unataka mods wawe madikteta kwa vile hutaki kuona habari zisizo kupendeza?Kwahiyo wewe ndio ulikuwa unaongea na Trump anakwambia hayo maneno? Hii tabia inazidi sasa mod habari Kama hizi ambazo hazieleweki zilikotoka muwe mnazifutilia mbali huko.
Kweli kabisa!!!Kwahiyo wewe ndio ulikuwa unaongea na Trump anakwambia hayo maneno? Hii tabia inazidi sasa mod habari Kama hizi ambazo hazieleweki zilikotoka muwe mnazifutilia mbali huko.
Umeishia darasa la ngapi?Acha upopoma! Yani unataka mods wawe madikteta kwa vile hutaki kuona habari zisizo kupendeza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haihitaji bunduki inahitaji akili ndicho anachofanya JPM anatumia akili nying kuliko nguvuSWALI jepesi tu, tunapompongeza JPM kwakutokufungia watu ndani "je yeye yupo huko kwenye mapambano"??. Au amekimbia hii vita?? Toka maambukiz yamezidi tumeona aliko au na Trump kaikimbia ikulu?
Sasa mkuu huoni kwamba hao wanaosababishia watu matatizo zaidi kwa kuwafungia ndani njia ambayo imeonekana haisaidii ndio wana matatizo zaidi? Sasa kwanini JPM asisifiwe kwa kuona hiliNi upumb.avu wa hali ya juu kuleta mada za kishabiki wakati huu.
Kwa mtu mwenye akili, anajua kuwa mpaka sasa hakuma mwenye uhakika ni njia ipi iliyo sahihi kupambana na ugonjwa huu. Ukiona mtu analeta mada kama hizi, unashindwa kuelewa kama ni mzima au amepungukiwa kichwani.
Wakati huu siyo wa kufanya ushabiki wowote ule, hasa kwa suala hili la ugonjwa wa corona. Kama kungekuwa na njia iliyo wazi na sahihi ya kupambana na ugonjwa huu, Dunia nzima ingeiga, na hakuna ambaye angeangamia. Kwa sasa hakuna njia hata moja iliyoonekana ni efficient kwa 100%. Ni mwendawazimu tu anayeweza kumsifia yeyote yule nyakati hizi wakati hakuna mahali walipofanikiwa kuudhibiti ugonjwa huu kwa 100% perfection.
Nadhami ambaye atastahili pongezi ya pekee ni yule atakayewezesha chanjo kupatikana.
Takataka ya CCM hii achana nae.Umeishia darasa la ngapi?
Umemuona nani duniani ameshika bunduki anapambana na corona?SWALI jepesi tu, tunapompongeza JPM kwakutokufungia watu ndani "je yeye yupo huko kwenye mapambano"??. Au amekimbia hii vita?? Toka maambukiz yamezidi tumeona aliko au na Trump kaikimbia ikulu?
Bali wewe ni takataka ya chadema siyo?Takataka ya CCM hii achana nae.
Njia sahihi ndio wanayoirudia walikurupuka kufungia watu hafu ww jitu zima unaendekeza matusi badala ya hoja una msongo wa mawazo si bure umechanganyikiwa hafu hujalazimishwa kuchangia nyambafuNi upumb.avu wa hali ya juu kuleta mada za kishabiki wakati huu.