Trump asema 'Ukraine haitaweza kujiunga na NATO,' huku Zelensky akijiandaa kufika Ikulu

Trump asema 'Ukraine haitaweza kujiunga na NATO,' huku Zelensky akijiandaa kufika Ikulu

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Rais wa Marekani Donald Trump amesema rais wa Ukraine anaweza kumaliza vita vya Urusi "ikiwa anataka" kufanya hivyo, lakini "Ukraine haitaweza kujiunga na NATO" kama sehemu ya makubaliano ya amani.

Saa chache kabla ya kuwa mwenyeji wa Volodymyr Zelensky katika Ikulu ya White House, Trump pia alisema Crimean peninsula "haitarudishwa tena", ambayo Moscow ilinyakua kinyume cha sheria mwaka 2014, miaka minane kabla ya kuanzisha uvamizi wake.

Hii inafuatia mkutano wa kilele wa Trump na kiongozi wa Urusi Vladimir Putin huko Alaska ambao ulisababisha rais huyo wa Marekani kutupilia mbali ombi la kusitishwa kwa mapigano na badala yake akataka makubaliano ya amani ya kudumu.

Mjumbe wa Marekani alisema siku ya Jumapili kwamba Putin alikubali uwezekano wa makubaliano ya usalama kama ya Nato kwa Ukraine.

Rais wa Urusi amekuwa akipinga mara kwa mara wazo la Ukraine kujiunga na muungano huo wa kijeshi.

Katika ujumbe wake kwenye jukwaa la Truth Social siku ya Jumapili usiku, Trump alisema: "Rais Zelenskyy wa Ukraine anaweza kumaliza vita na Urusi mara moja, ikiwa anataka kufanya hivyo, au anaweza kuendelea kupigana.

"Kumbuka jinsi ilivyoanza. Hakuna kupata tena Crimea iliyochukuliwa wakati wa Obama (miaka 12 iliyopita, bila hata risasi kufyatuliwa!), na UKRAINE HAITAWEZA KUINGIA NATO. Mambo mengine hayabadiliki!!!" Trump aliongeza.

Kabla ya Trump kurejea madarakani mwezi Januari, nchi za Nato zilikubaliana juu ya "mwelekeo usioweza kubadilika" wa Kyiv kuwa mwanachama katika muungano huo.

Katibu Mkuu wa Nato Mark Rutte, pamoja na viongozi wa Ulaya akiwemo Waziri Mkuu wa Uingereza Sir Keir Starmer, wataungana na Zelensky mjini Washington kwa mazungumzo kuhusu mustakabali wa Ukraine leo Jumatatu

1755506154281.png

=====

Donald Trump has said the Ukrainian president can end Russia's war "if he wants to", but there will be "no going into Nato by Ukraine" as part of a peace deal.
Hours before he was due to host Volodymyr Zelensky at the White House, Trump also said there would be "no getting back" the Crimean peninsula, which Moscow illegally annexed in 2014, eight years before launching its full-scale invasion

Trump's remarks follow his summit with Russian leader Vladimir Putin in Alaska that resulted in the US president dropping a demand for a ceasefire and calling instead for a permanent peace deal

After arriving in the US late on Sunday, Zelensky repeated his call for allies' effective security guarantees.
A US envoy said on Sunday that Putin had agreed to a possible Nato-like security pact for Ukraine.
The Russian president has consistently opposed the idea of Ukraine joining the military alliance.
Posting on his Truth Social platform on Sunday night, Trump said: "President Zelenskyy of Ukraine can end the war with Russia almost immediately, if he wants to, or he can continue to fight

"Remember how it started. No getting back Obama given Crimea (12 years ago, without a shot being fired!), and NO GOING INTO NATO BY UKRAINE. Some things never change!!!" Trump added.
Before Trump's return to power in January, Nato countries agreed on Kyiv's "irreversible path" to membership in the alliance

Nato Secretary General Mark Rutte, alongside European leaders including UK Prime Minister Sir Keir Starmer, will join Zelensky in Washington for talks on Ukraine's future on Monday.
Also attending are French President Emmanuel Macron, Italian Prime Minister Giorgia Meloni, German Chancellor Friedrich Merz, Finnish President Alexander Stubb and European Commission President Ursula von der Leyen. It is unclear how many of them will go to the White House

Trump later added: "Big day at the White House tomorrow. Never had so many European Leaders at one time. My great honor to host them!!!"
Zelensky posted on social media saying he was "grateful" for Trump's invitation. "We all share a strong desire to end this war quickly and reliably"

He also doubled down on the need for effective security guarantees from allies, "not like it was years ago... when Ukraine was given so called 'security guarantees' in 1994 but they didn't work".
"Of course, Crimea should not have been given up then," he added. "Just as Ukrainians did not give up Kyiv, Odesa, or Kharkiv after 2022"

Source: BBC
 
Dah
Wewe ulikuwa unaona kuwa Hilo Lina Wezekana !?
Na kule kumpa silaha kwote lkn bdo wahuni wamemkataa😂😂
Na wasingekuwa wao yawezekana hyo vita ata isingechukua muda mrefu hv make Zelensiky angeenda ku surrender kwa Putin na ikawa mwisho wa vita?
 
Dah

Na kule kumpa silaha kwote lkn bdo wahuni wamemkataa😂😂
Na wasingekuwa wao yawezekana hyo vita ata isingechukua muda mrefu hv make Zelensiky angeenda ku surrender kwa Putin na ikawa mwisho wa vita?
Bro umeongea pale Georgia ilimchukua masaa 3 tu kukamilisha mana sio EU, NATO wala US walio react kijeshi
 
Bro umeongea pale Georgia ilimchukua masaa 3 tu kukamilisha mana sio EU, NATO wala US walio react kijeshi
US kule Georgia alikuwepo katika kambi flani za kijeshi Ghafla Dubu alivyozama nchini humo kivita wakaamua kukimbia kwa kiasi ya kimbunga na kuacha magari aina ya humvee
 
Back
Top Bottom