Ila na wao(demos) kwenye Congress walienda kichama zaidi. Nafikiri Perosi hakuwa makini kuruhusu mchakato uende Senate. Hakujua kuwa "he who controls the Senate, controls The America!Kura ya kumtia hatiani na Kumuondoa Madarakani au la itapigwa JUMATANO Tarehe 5.
Kura ya Jana ilikuwa inahusu kuruhusu kuletwa kwa Ushahidi Zaidi au kuita mashahidi zaidi.
Hata hivyo matokeo yeyote ya kura ya Jana yasingeathiri Matokeo yanayotarajiwa ya kura ya JUMATANO.
Kiuhalisia suala hili limeendeshwa kwa kutazama ushabiki wa itikadi za Vyama na hivyo kupoteza umaana wake.
Demokrat waliamini mchakato huu utawasaidia kuwajenga Kisiasa Lakini imekuwa kinyume kidogo.
Kiuhalisia hawana mgombea anayeweza Kupambana na Trump.
Sent using Jamii Forums mobile app