Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Safi sana
Pesa zenyewe hapa Afrika tunatumia kuimarisha taasisi za Urais
Pesa za Misaada kutoka Marekani wamekuwa wakizitumia kwa Matumizi ya kufanya anasa na kuishi maisha ya starehe. Wamekuwa wakifanya kufuru za kila aina kwa kutumia pesa hizo za Misaada, wamekuwa wakifanya ziara za kuzunguka duniani au kuzunguka nchi kwa misafafara yenye misururu mirefu ya magari ya kifahari huku Wananchi wengi zaidi kwenye nchi zao wakiishi maisha magumu Sana kwenye ufukara uliopindukia.
 
Ndio mana nikasema hilo gape ni opportunity kwa China na Russia kuzifariji nchi za Afrika na nyengine duniani ambazo zilikuwa zimelemaa kupokea misaada ya US
 
Ndio mana nikasema hilo gape ni opportunity kwa China na Russia kuzifariji nchi za Afrika na nyengine duniani ambazo zilikuwa zimelemaa kupokea misaada ya US
Hizi nchi ni mabahiri mno.

Pesa yao inatoka kimkatati haswaa.
 
Ndio mana nikasema hilo gape ni opportunity kwa China na Russia kuzifariji nchi za Afrika na nyengine duniani ambazo zilikuwa zimelemaa kupokea misaada ya US
Msaada wa China ni lazima umneemeshe yeye kwanza. Issue ya Bandari ya Bagamoyo, Issue ya Airport ya Zambia n miradi mingi kule imewaacha wazambia wanajuta sasa.
 
Kuna chama kimenunua mabasi ya yutong 100
 
Ndio maana alituita shithole country
 
Mfano Tanzania tunapenda misaada kivipi wakati rasilimali nyingi za mpaka kula bata tunazo?

Trump yupo sahihi tujitafakari bana tutasaidiwa mpaka lini sisi!
Huyu sasa mbona anataka kutuafhiri,na mideni yetu ilivyo mokubwa tutapona kweli ..
 
Mfano Tanzania tunapenda misaada kivipi wakati rasilimali nyingi za mpaka kula bata tunazo?

Trump yupo sahihi tujitafakari bana tutasaidiwa mpaka lini sisi!

Misaada mingi ya nchi za magharibi huwa ni kwenye tafiti, si msaada wa moja kwa moja wa kifedha kwenda serikalini...
 
Kwa hiyo ARVs ndiyo bye bye? Tuone watu wakianza kunyonyoka nywele tena, ngoja nianze utafiti wa kutengeneza arv za miti shamba, hela nje nje
 
Warusi na wachina hawana pesa za kuchezea eti wakugawie ili uende kufanya mambo ya kipuuzi.
Hap watu wakikupa pesa usipo ilipa basi utaitapika kupitia matundu yote.
Hasa Wachina hawana mchezo kwenye pesa kuna jamaa yangu dereva malori aliwahi kuniambia. Wachina walikuwa wanaidai nchi ya Zambia wakaleta watu wao jamaa akaniambia mpaka Mchina ni trafik nchini Zambia.

Ifikie wakati nchi yetu ijatambue na ijitathimini sana haiwezekani inaenda kuomba msaada wa kujengewa matundu ya choo. Wakati Taifa Stars inapewa milion 700 kufuzu Afcon. Bado Machawa wanaoimba na kusifia serikali wanalipwa posho na hela kibao za kucheza.
 
Reactions: ITR
SI huwa mnasema urusi ni supa pawa, mwambieni Mmarekani akizingua yeye aingie mzigoni
 
Msaada sio lazima hasa Kwa anayetoa, ni wakati sasa wa viongozi wa Afrika kutumia akili na rasilimali zilizopo kuzinufaisha nchi zao badala ya kutegemea misaada.
 
Trump amefikiria akaona kuna nchi zinamchezea.. Yaani kutinga tu AFCON watu wamelamba milioni 700, bado kuna mamilioni yanatolewa kwenye goli la mama na ngumi ya mama halafu bado hiyo nchi ipo kwenye orodha inasubiria msaada huo ni upumbavu.
Halafu kila siku sherehe za CCM kuita wasanii kizimkazi na kulipa mamilioni huku wakiomba msaada kwa watu wa marekani.
 
Mkuu mataifa ya China na Russia watalitumia vizuri hilo gape, trump ni mwenda wazimu sana, Wenzake walikuwa wanazipembejea nchi duniani kwa mahusiano yeye ndio anaenda kuvunja, Trump sio mtu sahihi sana kwa uongozi wa Marekani
Povu la nini sasa
 
Kwamba saruji ni rahisi kuitengeneza kuliko toothpick ?
Maana tuna viwanda vya saruji, chokaa, vigae n k
 

Hivi unadhani ukichagua CHADEMA ndo tutaanza kujitegemea?

Afrika haiwezi KUJITEGEMEA haijawahi tokea na haitawahi kutokea

Hata kwenye Pre Colonial Afrika tulikuwa tunategemea wazungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…