Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Ww ndo hujui unacho kiongea, urusi na china hawana pesa za kuchezea eti wawakamue raia wao kodi ili waje kusaidia watu wenye mikono ,akili,na nguvu za kufanya kazi.
 
Wafrika wanapenda udikteta sasa waende China. Urusi na Korea kaskazini kwa madikiteta wenzao wawasaidie.

He Uganda na Rwanda itapona kwenye hili?
Kwanini msaidiwe hamna mikono ya kufanya kazi.
 
Miaka minne hii ya Trump,tujitahidi tusipate ukimwi.
 
Kwa Tanzania ni aibu sana kua moja ya nchi inayo endeshwa kwa kutegemea misaada ikisitishwa vilio vinaanza licha ya rasilimali tulizo nazo tofauti yetu na Kongo ni vita tuu
 
Trump is real trader!!! Unatoa hela wewe unapata nini in return, everything is all about making profit
 
Ndugu yangu sijasema tuchague nani, mimi nimewasilisha tuu! And that's how i see it, we need a change
Yaani kama kungekuwa na mgombea anayesimama yeye kama yeye ingekuwa bora sana
Haya mambo ya vyama wote wana njaa tu, ila kwenye ballot paper tuangalie nani nafuu kidogo
 
Mkuu kwa sisi kwenda mbele gvt inatakiwa na percentage kwenye hivyo viwanda sio kodi tuu, kina dangote siku wakipata mkataba mzuri Congo na upatikanaji wa material upo, watafunga virago waondoke, GVT inatakiwa iwe na viwanda vyake au wawe na asilimia kama 51 kwenye hivi viwanda so watakuwa na sauti
 
Trump amefikiria akaona kuna nchi zinamchezea.. Yaani kutinga tu AFCON watu wamelamba milioni 700, bado kuna mamilioni yanatolewa kwenye goli la mama na ngumi ya mama halafu bado hiyo nchi ipo kwenye orodha inasubiria msaada huo ni upumbavu.
Misaada tutegemee Marekani then Fursa na rasilimaki tuwape waChina....
 
Kila siku CAG aliokuwa anawaonya watumishi wa uma kutumia pesa vizuri hawasikii wanategemea misaada.
MISAADA INA MWISHO WAKE, NAMPONGEZA TRUMP KUWAKUMBUSHA KWA VITENDO kuwa hakuna chenye mwanzo kisiwe na mwisho
 
Trump ni zawadi kwa Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…