ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Ww ndo hujui unacho kiongea, urusi na china hawana pesa za kuchezea eti wawakamue raia wao kodi ili waje kusaidia watu wenye mikono ,akili,na nguvu za kufanya kazi.Nani kakwambia, inaonekana hufahamu sasaivi China na Russia mpango wao mkubwa ni kuzitoa nchi washirika wa Marekani ziwaunge mkono wao halafu waje wafanikishe kuanzisha hela yao ili iipiku marekani kiuchumi, Trump hapa ndio anaenda kuharibu mipango ya US iliyojengwa muda mrefu sana