Trump asimamisha misaada kwa nchi nyingine kwa siku 90 ili kupitiwa upya. Tanzania nayo kuathirika

Mwamba kashakata fund. Njooni tulime Mbogamboga na tikiti hapa bonde la Mto Ruvu. Pia daraja la Mto Wami (Kihangaiko) Kilimo kinakubali Sana.

Maisha popote
Siyo jambo la kufurahia ndugu..wanajua ubinadamu wame-reverse huo uamuzi, soma hiyo barua..jambo muhimu ni kuwaambia serikali waache anasa na ufahali misaada hii ina ukomo kulingana na vipaumbele vya wanaotusaidia, ni wajibu wa serikali kuhakikisha watu wake wanatibiwa ipasavyo..ni ujinga kuachia mtu anayekusaidia kutibu watu wako halafu wewe unafanya anasa na ufahali kwa mambo yasiyo ya msingi kabisa!
 
Attachments

Viongozi wetu sijui kama nao wanajiulizaga kama sisi; umri wa miaka 70 bado tunaendelea kusaidiwa? Why? Tumewahi kujiwekea time frame kwamba, ikifika lini ndio mwisho wa kuomba msaada kwa nchi zingine? Tusianze kudanganyana kuhusu ukoloni, China, India, Indonesia, Malaysia, Korea nk zote zilitawaliwa na wakoloni BUT sasa hvi sisi tunakwenda kuomba misaada kwao? Shida ni nini?
 
Kabisa Makwizi Band umri miaka 70 bado tunasaidiwa..na hakuna ukomo kwamba hali ya kusaidiwa lini itafikia mwisho tujitegemee, lkn wakati huo huo tunapenda anasa na ufahali! yaani ni km taifa la majuha kabisa, hawajui wanakotoka, walipo na wanakokwenda..habari za ujinga ujinga km sanaa za uigizaji, muziki na mpira ndio topic za maongezi ya kila siku..radio inafungua vipindi asubuhi saa 1 inaongea mambo ya mpira hadi saa 6 usiku..hivi kuna taifa hapo? Marekani wametamka kusitisha misaada ikiwemo hiyo ya matibabu ya ukimwi..wote tumesikia, lkn ajabu si serikali wala ngo's wala media imelizungumzia jambo hili na kujaribu kuhesabu gharama na madhara yanaweza kutokea km uamuzi wa Marekani utatekelezwa..kuna nchi hapo au kuna maiti tu km alivyosema Mzee Kenyatta..!
 
Kinacho nisikitisha zaidi, kadiri kizazi chetu bongo kinavyo zaliwa ndio kama na IQ zinazi kuporomoka, uzalendo as well. Utamkuta mtu anavyo tetea vitu vya kijinga, huwezi kuamini. Hivi tunayo sababu hata 1 ya kua tuna nunua VX V8 kila mwaka? Najiulizaga, mkurugenzi wa mkoa au wilaya Dar, Mwanza, Mbeya, Arusha, Tanga or Dodoma, anayo sababu ya kua na gari zenye size ya engine ya V8? Ya nini? Yupo mjini, barabara from home to his office ni full lami, distance per day haizidi 50km; sasa gari kubwa la namna hiyo la kazi gani? Tunapenda anasa wakati uwezo hatuna, ngoja Trump atushikishe adabu, tutatia akili kichwani
 
..kweli, na manunuzi ya namna hiyo ndio yanasababisha mfumuko mkubwa wa bei/inflation unaoumiza watu wengi wa kipato cha chini..sijui kwa nini watz wengi tuna spirit ya ufahali na anasa..!
Mimi ninamuombea Trump atafutr angle nzuri ya kubana viongozi ili wabadilike kwa lazima, nadhani wameona kusitisha misaada kwenye maeneo km ya miradi ya afya ambayo wanufaika si viongozi ni watu wa chini ni kuwaumiza watu hao wakati viongozi wao hawajali..
Lkn sisi raia inabidi kufungua ufahamu wetu juu ya kuwajua viongozi tulio nao na wale wanaomba tuwachague..viongozi wenye tabia za anasa na ufahali hawatufai kabisa ni kuachana nao..!
 
Trump hana akili, hii maana yake ndio kusema anavunja mahusiano na mataifa mengine duniani, China na Russia wa wakisikia habari hizi watafurahi sana na kucheza msondo, watalitumia hilo gape kuongeza marafiki na ushawishi na kupanua wigo wao wa kuwekeza kiuchumi kwenye hayo mataifa yatakayotengwa na Marekani.
US ndio inaenda kutengwa na dunia,
Kule kwao tayari effects zimeanza kwa mashirika na makampuni yanayouza bidhaa au huduma kwa shirika alilofunga kupoteza tenda na staff kupoteza ajira , yaani kilio kimeanzia home kwake kwanza ndo nasisi tulie!
 
Mfano Tanzania tunapenda misaada kivipi wakati rasilimali nyingi za mpaka kula bata tunazo?

Trump yupo sahihi tujitafakari bana tutasaidiwa mpaka lini sisi!
Trump kwa hili, anastahili pongezi mno. Misaada ililevya watu wakageukia usagaji na ukawiti. Hii ni Habari njema kutoka Marekani, kwani misaada isiyo na kikomo hufanya watu wabweteke. Kwa sasa ukimwi umerudi upya kwani hakuna anayeuogopa.
 
Hii ni neema kubwa kwa Africa....tulikuwa na Magufuli, wahuni wakatuaminisha hafai..wakamtoa.....Traore kaja kupigia line.
Huu ni wakati wa TISS kubadilisha nchi na kuweka uongozi utakaoendana na majira haya.
 
Back
Top Bottom