Trump asisitiza kuwarejesha kwao wahamiaji



Trump ni mhamiaji halali lakini kuna waamiaji haramu ambao ndo halali kisheria kushughulika nao. Warudi tu!!!
 
Upi umuhimu wa hiyo elimu sasa?
Hata sijui!.

Mfano unakutana na Prof. alafu ni chawa, unakutana na Prof. alafu atoi mchango bungeni hata kwa mwananchi wake aliyetekwa!.

Kidooogo ondoa yule msomi Dr na yupo kazini hajui siasa na yule msomi anasimamia anachoamini kutokana na elimu yake.

Sijui umuhimu wa elimu hapo.
 
Mnaiba kwenye nchi zenu kisha mnatoroka kujificha nchi za watu, warudishwe tu wakajenge nchi zao
 
Kwani ni mara ya kwanza. Kushughurikia hili?
 
Kwani ni mara ya kwanza. Kushughurikia hili?
Je, unaelewa kwamba mara ya kwanza Trump alipolishughulikia suala hili lilimsababishia misukosuko mingi yeye binafsi kama Rais pamoja na kusababisha chuki na migawanyiko mikubwa sana ya kijamii kwenye nchi hiyo ya Marekani??? Je, unajua kwamba hata ndani ya chama chake cha Republicans kuliibuka Mgogoro na migawanyiko ya ndani kwa ndani kwenye chama hicho kutokana na suala hili? Do you know this?? Unajua ni kwa nini Rais Trump hadi aliamua kumwita Ofisini kwake yule Jaji aliyeamua Kesi kwenye Mahakama Kuu ya nchi hiyo kuhusiana na suala hili? Do you know the reasons??
 
Maisha yetu chini ya jua, hayajawi kuwa yenye starehe mwanzo mwisho. Kila uchao kuna mambo mapya. Mengine mazuri. Mengine mabaya yenye kuleta ukakasi
 
Wahamiaji toka kwa wavaa kobaz jiandaeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…