Farolito
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 12,001
- 27,175
😂😂... na waliojifanya kuolewa au kuoa harakaharaka nao wakae tayari maana TALAKA ITATOLEWA MPAKANI!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂... na waliojifanya kuolewa au kuoa harakaharaka nao wakae tayari maana TALAKA ITATOLEWA MPAKANI!
Kwenye suala hili hili la Uhamiaji Trump akili-handle vibaya linaweza likamletea misukosuko kwenye Utawala wake. Awe makini na Mwangalifu Sana kushughulikia suala hili, utawala wake unaweza kuja kuwa mgumu Sana na pengine hata anaweza akaondolewa madarakani kwa njia ya Impeachment endapo kama hatakuwa mwangalifu kwenye suala hili. Kimsingi Marekani purely ni nchi ya Wahamiaji, hata yeye mwenyewe Donald Trump chimbuko lake ni Mhamiaji kutoka nchini Ujerumani.
Hata sijui!.Upi umuhimu wa hiyo elimu sasa?
Kwani ni mara ya kwanza. Kushughurikia hili?Kwenye suala hili hili la Uhamiaji Trump akili-handle vibaya linaweza likamletea misukosuko kwenye Utawala wake. Awe makini na Mwangalifu Sana kushughulikia suala hili, utawala wake unaweza kuja kuwa mgumu Sana na pengine hata anaweza akaondolewa madarakani kwa njia ya Impeachment endapo kama hatakuwa mwangalifu kwenye suala hili. Kimsingi Marekani purely ni nchi ya Wahamiaji, hata yeye mwenyewe Donald Trump chimbuko lake ni Mhamiaji kutoka nchini Ujerumani.
Je, unaelewa kwamba mara ya kwanza Trump alipolishughulikia suala hili lilimsababishia misukosuko mingi yeye binafsi kama Rais pamoja na kusababisha chuki na migawanyiko mikubwa sana ya kijamii kwenye nchi hiyo ya Marekani??? Je, unajua kwamba hata ndani ya chama chake cha Republicans kuliibuka Mgogoro na migawanyiko ya ndani kwa ndani kwenye chama hicho kutokana na suala hili? Do you know this?? Unajua ni kwa nini Rais Trump hadi aliamua kumwita Ofisini kwake yule Jaji aliyeamua Kesi kwenye Mahakama Kuu ya nchi hiyo kuhusiana na suala hili? Do you know the reasons??Kwani ni mara ya kwanza. Kushughurikia hili?