Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Siku maelefu hayo ya watanzania watakapokwenda kuchukua fedha zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, itakuwa dhahama.
Nina hakika mifuko ya hifadhi haina uwezo wa kuhimili madai ya wafanyakazi hao watakao kuwa wamekosa kazi kutokana na Amri ya Trump.
CCM ni Lazima waumbuke na hao wafanyakazi ni Lazima wajitayarishe kuzungushwa kupata mafao yao toka NSSF maana CCM imezoea kuendesha serikali kwa kutegemea kuchota pesa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.