Trump atawaumbua NSSF na PSSF

Trump atawaumbua NSSF na PSSF

Pesa za USAID haziingizwi NSSF wala PSSF. Thread closed
Zamani tukifanya mitihani tulikuwa tunaambiwa read the instruction carefuly before answering the questions. Kwako wewe soma uzi carefuly before commenting..
 
Zamani tukifanya mitihani tulikuwa tunaambiwa read the instruction carefuly before answering the questions. Kwako wewe soma uzi carefuly before commenting..
Soma comnents zangu zinazofuata, acha ujuaji
 
Huko wanakwenda kupigwa kalenda tu mwanzo mwisho na mwisho wa siku wataambiwa wasubiri wakistaafu maana wao ni professional wanaweza kupata kazi nyingine.
 
Hapa ndo umeniacha hoi kabisa, guy hizi pesa hazina uhusiano wowote na mifuko ya PSSF etc
CCM ni Lazima waumbuke na hao wafanyakazi ni Lazima wajitayarishe kuzungushwa kupata mafao yao toka NSSF maana CCM imezoea kuendesha serikali kwa kutegemea kuchota pesa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
 
Hata mm amenishangaza sana jamaa 😂😂
Kimekushangaza nini?

Miradi yote kisheria hufuata mifumo yote ya ajira kwa Tanzania. Watu wote walioajiriwa kwenye miradi yote inayofadhiliwa na USAID ni wanachama kwenye NSSF na kama wameazimwa toka serikalini/mashirika ya umma huwa wanachama wa PSSSF .

Kama hili hulijui Kaa kimya.
 
Back
Top Bottom