Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
hakuna haja ya kubabaika, kuweweseka wala kupotosha wadau kwa hofu zisizo na maana gentleman 🐒Maelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Siku maelefu hayo ya watanzania watakapokwenda kuchukua fedha zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, itakuwa dhahama.
Nina hakika mifuko ya hifadhi haina uwezo wa kuhimili madai ya wafanyakazi hao watakao kuwa wamekosa kazi kutokana na Amri ya Trump.
CCM ni Lazima waumbuke na hao wafanyakazi ni Lazima wajitayarishe kuzungushwa kupata mafao yao toka NSSF maana CCM imezoea kuendesha serikali kwa kutegemea kuchota pesa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
hakuna haja ya kubabaika, kuweweseka wala kupotosha wadau kwa hofu zisizo na maana gentleman 🐒
Hana hoja. CCM Kila siku wanakwapua pesa toka mifuko ya hifadhi ya jamii.Pinga kwa hoja.
😀😃😄Ndio vyema wakitoka hapo wanachukua wanaweka waaaah!
Ajabu nssf na pssf kwanini iwakopeshe hela za wanachama wanasiasa? Kwanini wasikope bank? Tatizo linaanzia hapoMaelfu ya watanzania watakaokosa kazi kutokana na Amri ya Rais wa Marekani Donald Trupm, itawaumbua CCM jinsi wanavyoendesha serikali Kwa kutegemea kukopa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Siku maelefu hayo ya watanzania watakapokwenda kuchukua fedha zao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii, itakuwa dhahama.
Nina hakika mifuko ya hifadhi haina uwezo wa kuhimili madai ya wafanyakazi hao watakao kuwa wamekosa kazi kutokana na Amri ya Trump.
CCM ni Lazima waumbuke na hao wafanyakazi ni Lazima wajitayarishe kuzungushwa kupata mafao yao toka NSSF maana CCM imezoea kuendesha serikali kwa kutegemea kuchota pesa toka kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii.
Halafu CCM wanajifanya kushangilia wakati mambo mengi yanategemea kuendeshwa kwa "hisani ya watu Wa marekani" wakati zetu wanagawana wao kwa wao.Kuna bibi yangu mmoja ni mzanzibarii halafu ni spender, hana uchungu na pesa ya wanae , ye ni kutapanya pesa hovyo.
Hapa hana budi aanze kujifunza kubana matumizi la sivyo mamabo yatakua mabaya.
Wanalazimishwa, maana wakubwa wa hiyo mifuko huteuliwa kimkakati.Ajabu nssf na pssf kwanini iwakopeshe hela za wanachama wanasiasa? Kwanini wasikope bank? Tatizo linaanzia hapo
Mimi kuikopesha serikali kweli wanakuwa hawana uwezo wa kuwanyima kiuhalisia ila hawa wabunge wana powers gani za kuomba hela nssf kama siyo kuchezea hela za wananchi, waende wakakope bank, wanakimbia kukopa bank kwa sababu hawana nia ya kulipa,hela ya bank huwezi kuichezeaWanalazimishwa, maana wakubwa wa hiyo mifuko huteuliwa kimkakati.
Kabisa....wanakimbia kukopa bank kwa sababu hawana nia ya kulipa,hela ya bank huwezi kuichezea
DaaahPesa za USAID haziingizwi NSSF wala PSSF. Thread closed
Khe!!Pesa za USAID haziingizwi NSSF wala PSSF. Thread closed
mkuu wanaongelewa wafanyakazi.Pesa za USAID haziingizwi NSSF wala PSSF. Thread closed
Watu wa Lumumba huwa wanatoa maoni kwa kuvuruga mdahalo.mkuu wanaongelewa wafanyakazi.
NdioKhe!!
Kwa ivo wafanyakazi wanaofanyakazi kwenye miradi iliyokuwa inafadhiliwa na USAID hawana mafao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii ?