Trump athibitisha kweli kumfokea Netanyahu kwa upuuzi anaoifanyia dunia.

Trump athibitisha kweli kumfokea Netanyahu kwa upuuzi anaoifanyia dunia.

Dunia inatakiwa kwanza itambue wayahudi sahihi ni walikuwa weusi sio hawa wanaoua watu..hata yesu alikuwa mweusi.
Ikisha tambulika hivi ina faida gani kwako? Ukisha kuwa mweusi hau ui watu? Uliwahi kusokia kuhusu Rwandan genocide?
 
Kwa hiyo na Mohammed naye alikuwa mweusi kwa sababu wote walikuwa ni watu wa mashariki ya kati. Hakujawahi kuwepo wayahudi weusi hizo ni porojo za masjid ubwabwa tu.
Kwa hiyo wayahudi wa Ethiopia ni weupe sio?
 
Mfano Magaidi wa Hamas wavamie Israel wakipigwa mnadai Netanyahu anaogopa jela huo ni ujinga uliopitiliza.
Kesi imeanza 2019 ila alikua anaighirisha tu sasa kufika 2023 anaambiwa sasa haiwezi sogezwa tena cha ajabu wiki hiiyo hiyo anavamia Gaza!! Huoni kuna pattern? Ndio maana licha ya ceasefire bado anashambulia Gaza na Beirut. Na hata wiki iliyopita alitoa wazo la kushambulia Uturuki. Yote hayo ni vita iendelee tu ili asifungwe jela. Nyie mnashabikia unabii unatimizwa wenzenu wanapiga hela tu.
 
Huu ujinga mliopandikiziwa na waarabu unawatesa sana!! Kwa hiyo ulitaka wewe Gaza wa shambulie Israel wasijibu mapigo pamoja na kwamba watu wao waliuwawa 1,200 na wengine 251 kutekwa?

Kuhusu Beirut Magaidi wa Hezbollah waliamua wao wenyewe kuingia vitani kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas kwa kuishambulia Israel sasa wanaume Wame jibu mapigo mmeanza kuokoteza visababu-Uchwara ili kuficha tu kipondo kutoka kwa Netanyahu kwa magaidi!!

Kama ni mambo ya Kesi ni ya kwao ndani kwa ndani wewe Mmatumbi hayakuhusu maana hata Netanyahu wewe hujamchagua kachaguliwa na wayahudi wenzake!!! Kwa hiyo wamfunge/Wasimfunge wewe haikuhusu sana sana Uarabu-koko ndiyo unaokutesa tu
 
ujinga mliopandikiziwa na waarabu unawatesa sana!! Kwa hiyo ulitaka wewe Gaza wa shambulie Israel wasijibu mapigo pamoja na kwamba watu wao waliuwawa 1,200 na wengine 251 kutekwa?
Acha utoto, Israel mbona imeua maelfu huko westbank je umeona Hamas au Hezbollah ikivamia huko kuua wayahudi? Huko Gaza tu kabla ya vita mlikua mmeua watu zaidi ya elfu 50 tokea 2009 ila nyie wakiguswa elfu 2 basi ndio mnaona sababu ya kuvamia na kuua raia wasio na hatia. Vipi wale 50,000 kabla ya oktoba 7 walikosea nini? Acheni unafiki maisha ya waisrael yana thamani sawa na wapalestina.
 
Kuhusu Beirut Magaidi wa Hezbollah waliamua wao wenyewe kuingia vitani kuwaunga mkono magaidi wenzao wa Hamas kwa kuishambulia Israel sasa wanaume Wame jibu mapigo mmeanza kuokoteza visababu-Uchwara ili kuficha tu kipondo kutoka kwa Netanyahu kwa magaidi!!
Sas Hezbollah na kulipua shule na makanisa vinahusiana nini? Na ceasefire ilishasainiwa ila Netanyahu analazimisha vita. Ila maadam Trump kamgeuka na kesi imeshamkalia vibaya tutaona mwisho wake utakavyokua wa aibu. Sijui baada ya hukumu utamtetea au utaenda naye jela!! Anyway kama ni kidume basi amkatalie Trump kama hajatekwa usiku huu.
 
Kama ni mambo ya Kesi ni ya kwao ndani kwa ndani wewe Mmatumbi hayakuhusu maana hata Netanyahu wewe hujamchagua kachaguliwa na wayahudi wenzake!!! Kwa hiyo wamfunge/Wasimfunge wewe haikuhusu sana sana Uarabu-koko ndiyo unaokutesa
Yanatuhusu maana ndio ametusababishia mfumuko wa bei huku mtaani. Jitu linaiba hela ila halitaki kwenda jela linaamua tu kuanzisha vita na kuua watu ili likwepe jela. Aisee Netanyahu ni zaidi ya shetani. Wameshakufa watu zaidi ya laki moja ili tu asalie madarakani.
 
Acha utoto, Israel mbona imeua maelfu huko westbank je umeona Hamas au Hezbollah ikivamia huko kuua wayahudi?
Ndiyo maana nakuambia wewe ni mjinga umekaririshwa tu Nani alikuambia west-Bank kuna wayahudi?
Huko Gaza tu kabla ya vita mlikua mmeua watu zaidi ya elfu 50 tokea 2009 ila nyie wakiguswa elfu 2 basi ndio mnaona sababu ya kuvamia na kuua raia wasio na hatia. Vipi wale 50,000 kabla ya oktoba 7 walikosea nini? Acheni unafiki maisha ya waisrael yana thamani sawa na wapalestina.
Hizo takwimu wewe umezipata wapi? Na kwa nini watu 50,000 wauwawe hutaji sababu kwa sababu unajua walikuwa wanafanya Ugaidi.!!!

Hapo hapa hutaji idadi ya Wayahudi waliouwawa kwenye kipindi hicho kutokana na Ugaidi wa hao unaowaramba makalio!!!!
 
Sas Hezbollah na kulipua shule na makanisa vinahusiana nini?
Shule na Kanisa au Msikiti Una kosa hadhi yake Kama utakuwa unatumika kigaidi na Kama magaidi wameingia kanisani na kuanza kushambulia kutokea humo basi ni halali kabisa Kanisa hilo liangamizwe maana limekosa hadhi ya kuitwa Kanisa.
Na ceasefire ilishasainiwa ila Netanyahu analazimisha vita.
Wakati Magaidi wa Hezbollah wanaingia vitani kumsaidia Iran Bwana wao walitegemea ceasefire? Itawaokoa? Mwacheni Netanyahu awanyooshe!!!
Ila maadam Trump kamgeuka na kesi imeshamkalia vibaya tutaona mwisho wake utakavyokua wa aibu. Sijui baada ya hukumu utamtetea au utaenda naye jela!! Anyway kama ni kidume basi amkatalie Trump kama hajatekwa usiku huu.
Kila Mara nakuambia wewe humjui Trump na maneno yake!!! Au umemezeshwa ujinga dhidi ya Marekani na Israel na hujui kuwa nchi hizo ni Washirika ndiyo maana unabwabwaja ovyo!!!!
 
Yanatuhusu maana ndio ametusababishia mfumuko wa bei huku mtaani. Jitu linaiba hela ila halitaki kwenda jela linaamua tu kuanzisha vita na kuua watu ili likwepe jela. Aisee Netanyahu ni zaidi ya shetani. Wameshakufa watu zaidi ya laki moja ili tu asalie madarakani.
Endelea tu kujilizaliza-Liza lakini ukweli ni kwamba Israel haijawahi kuvamia nchi yoyote duniani na ukiichokoza matokeo yake ni Kama haya Waarabu-koko kuanza kujilizaliza Kama watoto wa Nguruwe!!
 
Ndiyo maana nakuambia wewe ni mjinga umekaririshwa tu Nani alikuambia west-Bank kuna wayahudi?
Tatizo lako wewe elimu huna kabisa. Kwa takwimu za serikali ya Israel kuna waisrael/wayahudi zaidi ya laki 5 huko westbank. Huna unalojua kabisa kuhusu Israel, hata nikikuuliza maana ya walowezi wa kiyahudi hujui lolote.
 
Ndiyo maana nakuambia wewe ni mjinga umekaririshwa tu Nani alikuambia west-Bank kuna wayahudi?

Hizo takwimu wewe umezipata wapi? Na kwa nini watu 50,000 wauwawe hutaji sababu kwa sababu unajua walikuwa wanafanya Ugaidi.!!!

Hapo hapa hutaji idadi ya Wayahudi waliouwawa kwenye kipindi hicho kutokana na Ugaidi wa hao unaowaramba makalio!!!!
Takwimu kamili hizi hapo za wayahudi na wapalestina waliouawa
Timeline_of_Israel-Palestine_fatalities_2008-2023.png

Source Data on casualties | United Nations Office for the Coordination of Humanitarian Affairs - Occupied Palestinian Territory
 
Endelea tu kujilizaliza-Liza lakini ukweli ni kwamba Israel haijawahi kuvamia nchi yoyote duniani na ukiichokoza matokeo yake ni Kama haya Waarabu-koko kuanza kujilizaliza Kama watoto wa Nguruwe!!
Nani kajiliza wewe? Umeona Iran imeomba ceasefire? Kama anajiamini si Netanyahu aje mwenyewe kupambana na Iran kwanini Trump amejitoa naye amejitoa!! Anaogopa nini?
 
Nani kajiliza wewe? Umeona Iran imeomba ceasefire? Kama anajiamini si Netanyahu aje mwenyewe kupambana na Iran kwanini Trump amejitoa naye amejitoa!! Anaogopa nini?
Kama Iran unaona ni mbabe kwa nini asikatae hiyo ceasefire ili aendelee kupigana?
 
Back
Top Bottom