Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Donald Trump ameendelea kumshambulia Elon Musk kupitia mtandao wa Truth Social, akisema:
"Elon alikuwa ‘anavuka mipaka’, nilimwambia aondoke, niliondoa amri ya magari ya umeme (EV Mandate) iliyolazimisha kila mtu kununua magari ya umeme ambayo hakuna aliyoyataka (ambayo alijua kwa miezi kadhaa kuwa ningeiondoa!), na akapagawa kabisa!"
Katika chapisho lingine tofauti, Trump aliongeza:
"Njia rahisi zaidi ya kuokoa pesa katika bajeti yetu — mabilioni na mabilioni ya dola — ni kusitisha ruzuku na mikataba yote ya serikali anayopata Elon. Nilishtuka kila mara kwa nini Biden hakufanya hivyo!"