Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ugomvi wa mabilionea wasakatonge mkae nao mbali!Hawa si walikuwa maswahiba juzi tu hapa?
Mambo yao tuwaachie wenyewe , uzuri wote taarabu na mipasho wanaijua.
Mabilionea hao!Wajuaji wote hawawezi kukaa chungu kimoja ilikua lazima wavurugane tu
Says who???Ugomvi wa mabilionea wasakatonge mkae nao mbali!
Ilikuwa ni suala la muda tu.Wajuaji wote hawawezi kukaa chungu kimoja ilikua lazima wavurugane tu
Kwenye mafahari wawili kamwe hawawezi kukaa zizi moja.Donald Trump ameendelea kumshambulia Elon Musk kupitia mtandao wa Truth Social, akisema:
"Elon alikuwa ‘anavuka mipaka’, nilimwambia aondoke, niliondoa amri ya magari ya umeme (EV Mandate) iliyolazimisha kila mtu kununua magari ya umeme ambayo hakuna aliyoyataka (ambayo alijua kwa miezi kadhaa kuwa ningeiondoa!), na akapagawa kabisa!"
Katika chapisho lingine tofauti, Trump aliongeza:
"Njia rahisi zaidi ya kuokoa pesa katika bajeti yetu — mabilioni na mabilioni ya dola — ni kusitisha ruzuku na mikataba yote ya serikali anayopata Elon. Nilishtuka kila mara kwa nini Biden hakufanya hivyo!"
View attachment 3357360
Huu mwaka nao unazidi kuwa poa, wacha tuone matokeo yake vile yatakua😅😅Tatizo Musk tulimkanya lakini akawa mbishi, ona sasa leo siasa inamuharibia biashara...🤷♂️
Jamaa biashara zake zilishuka hasa ulaya kutokana na kuwa karibu na whitehouseWa South Afrika kama vile nawaona wanagonga chess.
Ingawa je nyuma ya pazia kweli wana mvutano au ni danganya toto kwenye hazidhira?
Kama wako Serious Trump kashikilia mpini na Elon kashikilia makali, Musk ataumia