Trump atishia 'kusitisha ruzuku na mikataba yote ya serikali anayopata Elon Musk

Hili ilitegemewa kutokea. Musk amefeli vibaya, sijui alishindwa vipi kuona hili
 
Kuna siku nilicomment humu kuwa urafiki wao hauwezi kudumu. Wote wana ego na elon ni opportunist.
 
Du! Huyu jamaa ni zaidi ya CHIZI. Kwani hiyo mikataba sio win-win contracts au ameona inamnufaisha Musk peke yake?
 
sisi ni furaha tu
-wee elon wacha ufala tumia pesa zako kummaliza trump la sivyo atakurudisha soweto ukiwa masikini
-wee trump tumia cheo chako kumfyekelea mbali elon la sivyo atakumaliza yeye ili aendelee kuwa bilionea
 
🇺🇸Elon Musk Lost $34 Billion in One Day Due to Trump Dispute, Tesla Lost $150 Billion, and Trump Lost Only $1 Billion — Bloomberg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…