The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Wapambe wa Trump wanasema he is not there for playing games, you Around with him and Find out.
Leo ndege 2 za kijeshi zenye rais 160 wa Columbia ambao walikua wahamiaji haramu nchini Marekani zilikataliwa kutua nchini Columbia na kulazimika kurudi Marekani.
Baada ya hapo Trump akatishia kesho kuiwekea vikwazo Columbia kwanza kwa kuweka ushuru 25% na hadi wiki ijayo ushuru wa bidhaa toka Columbia utakua 50%
Weka vikwazo vya kiuchumi kama kibenki, miamala, weka vikwazo vya usafiri kwa viongozi wote wa Columbia kuanzia rais, chama chake na viongozi wote.
Simamisha shughuli za kibalozi wa Marekani nchini Columbia.
Futa visa zote za raia ama viongozi wa Columbia walioko Marekani haraka iwezekanvyo nk.
Baada ya vikwazo hivyo kutangazwa, dakika chache rais wa Columbia ameahidi kutuma ndege yake binafsi kwenda kuwachukua raia wake Marekani.
=================================================================
The White House claimed victory in a showdown with Colombia over accepting flights of deported migrants from the U.S. on Sunday, hours after President Donald Trump threatened steep tariffs on imports and other sanctions on the longtime U.S. partner.
Long close partners in anti-narcotics efforts, the U.S. and Colombia clashed Sunday over the deportation of migrants and imposed tariffs on each other’s goods in a show of what other countries could face if they intervene in the Trump administration’s crackdown on illegal immigration. The White House held up the episode as a warning to other nations who might seek to impede his plans.
Earlier, the U.S. president had ordered visa restrictions, 25% tariffs on all Colombian incoming goods, which would be raised to 50% in one week, and other retaliatory measures sparked by President Gustavo Petro’s decision to reject two Colombia-bound U.S. military aircraft carrying migrants after Petro accused Trump of not treating immigrants with dignity during deportation. Petro also announced a retaliatory 25% increase in Colombian tariffs on U.S. goods.
Source: AP News