Trump atishia vikwazo, Colombia yasalimu amri kuhusu wahamiaji haramu

Trump atishia vikwazo, Colombia yasalimu amri kuhusu wahamiaji haramu

Magufuli huyoo
Nchi za Africa tumekosa viongozi wazuri wenye ushawishi. Ingekuwa kipindi Cha nyerere hii ndio ilikuwa fulsa ya kuusimamisha kisawasawa umoja wa waafrika na hata ikiwezekana kuwa nchi yenye raisi mmoja tu. Maana tulichokuwa tukihofu hakipo kwa Sasa zaidi tutasifiwa tu na mkombozi Trump.

Lkn nasikitika Sana kuona pamoja na mabadiliko ya Sera zA marekani lkn bado Kuna maviongozi ya afrika et bado yanafosi mfumo ule kueendelea kufanya kazi. So sad
 
The most important person and BRICS ally ni TRUMP; anafanya kile ambacho watu walidhani hakiwezi kufanyika ila kilikuwa kinafanyika kwa wachache wengine wakidhani hawewezi kuguswa (Weaponizing the Dollar)

Wacha iendelee kunyesha...
 
Back
Top Bottom