Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

... angekuwa ame-date na yale matakataka yaliyolaaniwa ingekuwa breaking news worldwide na angedharaulika mno! Ila ku-date na hicho kidemu; Trump ni kidume kweli kweli.

Ati Breaking News World Wide. Unafikiri Hadharauliki....tena World wide??

Ati huyo Kidume, tsk tsk na alipe haraka asijepelekwa kwa midume.
 
Cha muhimu hafungwi.....na atagombea tena Urais.
 
Hata wewe utanyanyaswa vile vile
 
Cha muhimu hafungwi.....na atagombea tena Urais.
Heee(emoji mshangao) Kumbe ilikuwa ni shutuma zilizoendeshwa Kisiasa!?

Mbona huwa tunasikia haya hayatokei kwa Walioendelea na Demokrasia! (silently, my foot)

Hatahivyo, ukiangalia huku kwetu, utaona suala la kuhisi uwepo wa shutuma kendeshwa Kisiasa haukoπŸ™Œ

na mfano ni pale TL alipotokea kupambana 2020! au?
 
Wewe ndii unadharaulika sio Trump.
Jikite kwenye Hoja. Mie sie niliye muhukumu. Ujifunze hivyo na sio kukurupuka tu na chuki zako binafsi sambamba na chuki za watu weusi...... sasa unakurupuka kwa jibu la swali na mtazamo wa mtu mwingine halafu unatanua na kuvimbisha mishipa ya shingo kutaka kuleta kitu ambacho hakipo! Unabisha? haya niambie ndharaulika kwa nini haswa nilicho jibu?

Kama una tatizo na mimi anzisha thread tukutane huko tupambane

Trump au Tramp?
 
Hata wewe utanyanyaswa vile vile
Huna uwezo huo Ndugu. Huna and there is absolutely nothing you can do about it.πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€―πŸ€­
 
Lengo la hizi kesi za kashfa ni kumnyima fursa Trump kugombea tena urais, nyinyi hamuelewi chochote
Huwa mnakuja na hoja zenu kuwa mambo kama hayo hayatokei kwenye Nchi mnazoziita "Zimeendelea" sasa kulikoni? Au huwa mnasema ndio "Demokrasia" asa kama Demokrasia ni Nzuri mbona mnaumuka na hukumu za mahakama zenu wenyewe? punguzeni upotoshaji basi.
 
Huwa mnakuja na hoja zenu kuwa mambo kama hayo hayatokei kwenye Nchi mnazoziita "Zimeendelea" sasa kulikoni? Au huwa mnasema ndio "Demokrasia" asa kama Demokrasia ni Nzuri mbona mnaumuka na hukumu za mahakama zenu wenyewe? punguzeni upotoshaji basi.
Kwani unafkiri ni kesi ya kubambika? hizi kesi zinakuwa zipo lakini wakiona kuna haja ndio wanaziibua ili kutimiza malengo., Trump amepelekwa mahakamani na amekutwa na hatia. Huko kwenu munabambika tofauti ipo sana
 
Kwani unafkiri ni kesi ya kubambika?
Hapana, Sikufikiria hivyo, wewe ndie uliyedai hivyo.
hizi kesi zinakuwa zipo lakini wakiona kuna haja ndio wanaziibua ili kutimiza malengo.,
Kesi huwa na malengo....iwe ya aina yeyote ile, na ikiwa ni kesi isiyokuwa na merit inatupwa nje. Ya Tramp ilipita, nikimaanishabilikuwa na merit sasa, Unadai Mahakama nazo zilikuwa na ajenda yao ya Kumnyima kugombea? Unataka kudai huna Imani na Mahakama aliyofikishwa Tramp? How so?
Trump amepelekwa mahakamani na amekutwa na hatia.
Sawa.
Huko kwenu munabambika tofauti ipo sana
Sijakuelewa, tunabambikia nini? Tofauti ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…