Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Trump kaingia ofisini juzi tu, lakini huko Marekani hawapoi.
Trump amewaondolea viongozi wastaafu ulinzi na kutaka jukumu hilo la ulinzi wajigharamie wenyewe.
“Nimewaondolea Ulinzi wa Kiserikali kwasababu walifanya kazi serikalini na naamini walitengeneza fedha za kutosha sana hivyo wanaweza kuajiri Walinzi wao binafsi, kufanya kazi serikalini haina maana ubaki na Walinzi maisha yako yote”
-Rais Donald Trump baada ya kuwaondolea Walinzi Viongozi mbalimbali wastaafu wa serikali ya Marekani.