Hii ni nzuri.Mfano Tanzania ukiwa kiongozi kama rais,waziri mkuu,makamu,balozi,jaji,wakuu wa vyombo vya ulinzi pamoja na waliositaafu na wengine unakuwa kama mtoto mchanga.Yaani unahudumiwa Kila kitu kuanzia nyumba,magari,matibabu iwe hapa nyumbani au nje,kupewa Nchi utakayo ili ukatalii,kusomesha mtoto wako shule au chuo utakayo kama Harvard endapo mwanae atakubaliwa kwenye hicho chuo wakati huohuo halipii maji,umeme,gesi,chakula.Sasa ukijumulisha Hawa viongozi wote na waliositaafu unaona kabisa watanganyika tunakamuliwa Kodi ili kuwahudumia Hawa wakati huohuo wanapokea mshahara sijui wa kazi gani